Waliochaguliwa St John's University

Waliochaguliwa St John's University

Mzee23

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
1,742
Reaction score
3,673
walioomba nafasi katika chuo cha St.John's waingie katika website ya chuo www.sjut.ac.tz kuangalia yafuatayo..

1. waliochaguliwa na kuthibitishwa na TCU
2. Walioomba na kuchaguliwa lakini hawajathibitishwa na TCU
3. Kuomba awamu ya pili hapa chini ni waliochaguliwa na kuthibitishwa na TCU
 

Attachments

Back
Top Bottom