Kwan tia wametoa matokeo, nitazionaje?Habari wanajamvi. Mdogo wangu ni mhanga wa multiple selection kwa vyuo viwili tajwa hapo juu. Mpaka sasa bado hajatumiwa code na yeye yuko Kambini JKT.
Sasa naomba tuunganishe nguvu kwa waliochaguliwa vyuo tajwa hapo juu ili tuweze kujua ukubwa au udogo wa tatizo letu hatimaye tuweze kupata suruhisho mapema. Maana nasikia wengi tayari wameshatumiwa ktk vyuo vingine.
KARIBUNI
ina maana waliopata matokeo pekee ni wale multiple?Huyu wangu yupo ktk multiple selection ya vyuo hivyo viwili,
Bado hujayaona?Kwan tia wametoa matokeo, nitazionaje?
Habari wanajamvi. Mdogo wangu ni mhanga wa multiple selection kwa vyuo viwili tajwa hapo juu. Mpaka sasa bado hajatumiwa code na yeye yuko Kambini JKT.
Sasa naomba tuunganishe nguvu kwa waliochaguliwa vyuo tajwa hapo juu ili tuweze kujua ukubwa au udogo wa tatizo letu hatimaye tuweze kupata suruhisho mapema. Maana nasikia wengi tayari wameshatumiwa ktk vyuo vingine.
KARIBUNI
Awamu ya tatu wametoa?Bado hujayaona?
Yeah wametoa tayariAwamu ya tatu wametoa?
Mwisho wa siku ilibidi tukaconfirm chuoni moja kwa moja. Code ilikuja, lakini ikawa inakataaa!.
Mbona km web yao inazingua....nataka kuona jina la bwa mdogo mmoja hvYeah wametoa tayari
Ingia kwenye Akaunti yake_Mbona km web yao inazingua....nataka kuona jina la bwa mdogo mmoja hv
Anasema kaandikiwa 'Selection process on Progress' tangu round 1 duuuu hahahahahaIngia kwenye Akaunti yake_
Ukiandikiwa hivyo unapiga simu, wameandika kabisa pale, tumia zile namba pale juu ukiingia kwenye akaunti, help desk.Anasema kaandikiwa 'Selection process on Progress' tangu round 1 duuuu hahahahaha
Amesema amepiga simu ameenda hadi na pale kuonana nao physically lkn wanamwambia asubiri dah....from round 1 khaaaaa!Ukiandikiwa hivyo unapiga simu, wameandika kabisa pale, tumia zile namba pale juu ukiingia kwenye akaunti, help desk.
lazima atapata mwishoni, inaelekea kozi alizoomba zina ushindani mkubwaAmesema amepiga simu ameenda hadi na pale kuonana nao physically lkn wanamwambia asubiri dah....from round 1 khaaaaa!
Na mm nawaza hvyo.....labda wanamuweka reservelazima atapata mwishoni, inaelekea kozi alizoomba zina ushindani mkubwa
Ila asichoke kuwakumbushaNa mm nawaza hvyo.....labda wanamuweka reserve