Waliochaguliwa MOCU/MUCCOBS tukutane hapa

shabalanks

Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
30
Reaction score
6
Waliochaguliwa MOCU/MUCCOBS tukutane hapa kwa ajili ya kufahamiana pls
 
Hiyo Mocu ina hostel za kutosha? Na zipo eneo gani mjini Moshi? Mtoto wa best friend kachaguliwa degree ya sheria.
Naogopa asijekuambiwa hakuna nafasi za malazi.
 
hongereni kwa kuchaguliwa chuo kinachokatisha ndoto za watu, maana discontinue ni unavoidable, waliopita apo BA-AF wanajua nn namaanisha.
 
hongereni kwa kuchaguliwa chuo kinachokatisha ndoto za watu, maana discontinue ni unavoidable, waliopita apo BA-AF wanajua nn namaanisha.
If u fail to plan u plan to fail...we eka ratiba zak vzr uone kam uta disco...bewise
 
kuna vichwa kama Kaberege, Gideon, Sethiel, Mama Helen, Mama Mwende, Boa, Mwandeni n.k!

Ukiwatoka hao utakuwa na simulizi nzuri kwa wajukuu zako.
 
Cjui ndo BA-AF tuvumiliane tu ila naifaham kama acc en finance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…