Dah!!. Mmenikumbusha mbali sana. Namkumbuka huyo mzee ulikuwa ukimkorofisha lazima akutoe nduki na mwiko ama tonge la ugali.
Ila alikuwa hapendelei mtu yeyote katika kugawa msosi.
Hivi akina Mwalimu Chicago, Urage, Lyaruu, Mzuzu,Temba bado wapo kweli?