Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

mdogo wangu kachaguliwa hapo hivi shuleni wanakwenda mwezi wa ngapi
 
sasa kwa wale form 4 was miaka ya nyuma ambao walituma maombi selection itakua lini? mwenye kujua atusaidie wakuu.
 
Jamaa ameitoa,huyu ni tapeli kabisa invisible amshugulikie
 
hata nacte nao haifunguki, ingia hapa zen inaload to zen not found
 
jamani wale wenye kredit mmepata nafasi special dploma udom
mwenye info zaid atujuze
 
Back
Top Bottom