Waliochaguliwa jwtz kupimwa ukimwi kesho j5

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Jamani jana nimesikia kwenye redio kwa waliochaguliwa JWTZ kutakuwa na vipimo mbalimbali mmoja wapo ni yale matatizo yeu ya kuniga..kama utabahatika nkutakia kila la kheri na hata ukikosa kwa ajili ya vipimo Mungu anakupenda zaidi na anajua wapi utafaa nafasi nzuri ya kazi...pengine ukuependa kuukwaa lakiini moja ya mashrti yao mwenye mambo yetu wanamdis,,,nahisi hii kitu serikali waangalie upya
kila la kheri mwana JF aliechaguliwa na atakaepita bila kupingwa
 
Sijapenda ulivyoandika hii habari, kuna ushabika fulani.. kana kwamba unafurahia sana kwamba waathirika hawatapata hiyo nafasi... hakuna shida mkuu, hii ni dunia, kwanza huenda hata hujua status ya afya yako!!
 
Hapa ujaelewa na wewe ndie unaelekza hivyo mkuu..ni kweli na wala siitaji kujua yangu..kama ombi lako..ila wanachofanya nakataa na si kuficha wakikuta unaumwa awakkuchukui na kuna vijana wawiliw waliwatosa last time kwa hili..nielewe usitake wanielewe kama unavyoelewa
 
Jamani jana nimesikia kwenye redio kwa waliochaguliwa JWTZ kutakuwa na vipimo mbalimbali mmoja wapo ni yale matatizo yeu ya kuniga..kama utabahatika nkutakia kila la kheri na hata ukikosa kwa ajili ya vipimo Mungu anakupenda zaidi na anajua wapi utafaa nafasi nzuri ya kazi...pengine ukuependa kuukwaa lakiini moja ya mashrti yao mwenye mambo yetu wanamdis,,,nahisi hii kitu serikali waangalie upya
kila la kheri mwana JF aliechaguliwa na atakaepita bila kupingwa

Usitukane mamba kabla hujavuka mto.......................
 
Hapa ujaelewa na wewe ndie unaelekza hivyo mkuu..ni kweli na wala siitaji kujua yangu..kama ombi lako..ila wanachofanya nakataa na si kuficha wakikuta unaumwa awakkuchukui na kuna vijana wawiliw waliwatosa last time kwa hili..nielewe usitake wanielewe kama unavyoelewa

Pdidy njoo katika klinic yangu nikupe usahuri "Kuwa na virusi sio kuumwa" ndio maana wanasema "VIRUSI VYA UKIMWI/UKIMWI" HIV/AIDS
 
Jamani tupunguze siasa mgonjwa mwenye ugonjwa sugu atalisaidiaje jeshi?
 
kuna umuhimu jamani wanaenda kule kupimwa,mazoezi yake sio ya lele mama,ndani ya wiki sita wadudu wote lazima wachaluke mana six week si mchezo,jesh ni kazi ya nguvu na through out kuna short course ambazo nazo si lele mama any way sio kwamba nawanyanyapaa wenye virusi wasiwe recruited jeshini ila hata kama wangeruhusiwa nisinge washauli waende,kuna vitu vinaitwa rout much mnatembea the whole day umbali mlefu toka asbh mpaka usiku kama una wadudu aise watashindwa kuvumilia,ukiona mjeshi ana ukimwi ujue kaupata baada ya kutoka mafunzoni (mu ulize mjeshi yeyote wiki sita za mkesha zikoje atakuambia)
ni hayo tu kwa leo
 
Jamani mambo ya jeshi ni noma, ukienda una HIV, automatic unajiua mwenyewe kwani pamoja na kupima ila bado baada ya miezi mitatu ukiwa depo bado tena utarudia kupima na hapo shughuli ndiyo huwa pevu. Kama unaona unaonewa nenda hata mafunzo ya mgambo utaona cha moto.
 
Back
Top Bottom