Kumbo El Capitanol
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 286
- 237
nimechaguliwa electrical and biomedical engineering vp iko poaHapa ni kwa ajili ya kufahamiana zaidi na kupeana taharifa mbalix2 kuhusu chuo kama vile accommodation na mazingira kwa ujumla, pia hata kukifahamu chuo kwa undani zaidi, bila kusahau kuwekana sawa katika utata wa program husika..
Karibuni wanafamilia wa ATC.
nmechaguliwa hiyo pia.nimechaguliwa electrical and biomedical engineering vp iko poa
Nzurinimechaguliwa electrical and biomedical engineering vp iko poa
Mabibi na mabwana mliochaguliwa ATC mosi napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wanafunzi wenzangu kwa kuchaguliwa ,Kuna Wassap group imeanzishwa kwa intake ye2 (2017/2018) kwa atakaekuwa interested ni PM namba yako nikuadd.Lengo ni kufahamiana na kupeana taarifa mbalimbali kuhusu udahili wetu & so much more
Karibuni sana
Hahahahaaaa!!!!..mabweni ya wanaobundi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mabweni.
mkuu ulichaguliwa kwa vigezo gani ,fom 4,6 au dip?nimechaguliwa electrical and biomedical engineering vp iko poa