Waliobakwa Libya hatarini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliobakwa Libya hatarini

Discussion in 'International Forum' started by sulphadoxine, Jun 16, 2011.

 1. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wafanyakazi wa mashirika ya misaada nchini Libya wanaonya kuwa wanawake ambao wamekuwa wajawazito baada ya kubakwa wakati wa mzozo wanakabiliwa na hatari ya kuuawa na watu wa familia zao.
  Onyo hilo linakuja baada ya mashirika kadhaa ya misaada magharibi mwa Libya kusema kuwa mauji hayo ndiyo sababu kuu ya watu kukimbilia nchini Tunisia.
  [h=2]Ubakaji mwiko[/h]Mahakama ya kimataifa ya uhalifu imesema inaamini vikosi vya kanali Gaddafi na waasi wanatumia ubakaji kama silaha ya vita.
  Waandishi wa habari wanasema, ingawa suala la ubakaji ni jambo la aibu kuzungumziwa kote duniani, nchini Libya suala Libya suala hilo ni mwiko kutajwa hadharani.
   
Loading...