Walioapply ARDHI PLAN LTD

Walioapply ARDHI PLAN LTD

Kiraucha

Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
26
Reaction score
2
Wadau naomba kuuliza walioapply kazi zilizotanganzwa ardhi plan ltd mwezi wa 6 wameshaitwa kwenye interview??
Mwenyekujua plz aniambie
 
Nadhani watakua hawajaita koz mimi bado hawajanipigia cm.
 
Mimi mambo ya taasisi za binafsi yakikaa kwa muda mrefu huwa siyaamini huenda walishachakachua though we need to be positive until the last drop
 
Back
Top Bottom