Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Walizaliwa wanakunywa? Wanaacha pombe wakiwa kwènnye dozi tu.Ni rahisi kuacha wanawake/umalaya kuliko kuacha pombe! Pombe ukishainywa ni kama ina mashetani.
Pombe inatenganisha familia.Pombe hasara tupu.
Kuacha pombe ni uhodari mkubwa sana.
Waliocha pombe waje hapa watueleze wameachaje
Uzi wa watu waliofirisika..
huelewi unachokiongea....Ni rahisi kuacha wanawake/umalaya kuliko kuacha pombe! Pombe ukishainywa ni kama ina mashetani.
Pombe inatenganisha familia.Pombe hasara tupu.
Kuacha pombe ni uhodari mkubwa sana.
Waliocha pombe waje hapa watueleze wameachaje
Aliyekudanganya nani!?Pombe inatenganisha familia.Pombe hasara tupu.
Teh teh tehHakuna anayeacha pombe bila kuwa na tatizo..Kama unakunywa bia zako za wastani, hupigi raundi basi wewe ni mnywaji wa kawaida! Wanaoacha pombe ni walevi na wanaacha baada ya kukwaa matatizo kama kuliwa tigo baada ya kulewa kupindukia, kujinyea hadharani, kufilisika kwa kutafuta sifa za round, kuangukia kwenye VVU kwa kutokana na kutokujitambua kilevi, kubaka ndugu kutokana na kutokujitambua kilevi, matatizo ya kiafya kutokana na ulevi! Hao ndo wanaacha pombe!
Hata mimi!Sijaacha