Walio single wote hawana furaha 100%

Ila hii nchi ina vijana jamani khaaah!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pole sana Samia.

Anyway hivi nani anayo furaha 100%
 
Watakupinga Sana
Ila huo ndo UKWELI wenyewe
Hakuna furaha palipo na upweke
 
Kuna single girls kwa kutaka wenyewe wengi wao ni wale ambao wamepitia changamoto nyingi na ngumu katika mapenzi hivyo basi kutokuwa katika mapenzi imekuwa furaha kwao maana wanaamini wameepuka changamoto, hawa wana furaha, na kuna single girls wa kutotaka hawa ndio unaowasemea wewe kwamba wanatamani kumpata anaewapenda ila kwasababu hawajapata hawana furaha.


Hakuna mwanamke mwenye furaha 100% hata hao walio kwenye ndoa michepuko imekuwa mwiba kwao, hawana furaha 100%
 
Hivi kwa Karne hi ya 21 Kuna watu bado wapo single jamani 🤔?

Kwa wanawake inaeza ikaeleweka coz takwimu zinasema wanawake Ni wengi kuliko wanaume Duniani kote, kwa hiyo tukitumia kigezo Cha 1:1 Basi bila Shaka wapo wanawake ambao watakosa wachumba.

Ila mwanaume kuwa single kwa Karne hii Ni kosa kubwa Sana kiukweli.
 
Manunganyembe sio tu wanawake ni watu wote wasio namuelekeo wa maisha ya mapenzi.
Wewe FISI 2 mlaa watu kapuuzifulani hivi unadhani unatoa **** tu kiholela ili usiitwe single lady??
Hatutaki ghonorrea,na kaswende,uti sugu mtu yupo na wanawake tisa huo siugonjwa .
Kidudu mtu weye usiye na haya
 
very true, Dawa ya nyege ni unyumba, sasa unawezaje kuwa na furaha wakati una njaa muda wote,
wakati kuna wenzio wana uhakika wa kula?
BASI NA TUENDELEE KUJIDANGANYA NYUMA YA keyboard
 
Kweli
 
Utafiti wako uko sahihj
 
Watabisha ili kujifariji bt huu ndo ukweli! Ajitokeze mwingine afanye utafiti juu ya wanaume single ili Kubaini kuwa wanafuraha au la!.
 
Ngoja na mie nirudis huu utafuti nione kama ni kweli. Ila mzeya ulitumia kiasi gani katika hiko kipindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…