anayejua kampuni ya Adexec iliyo uhuru road plz msaada
Hakuna kampuni kama hiyo ni matapeli hao. Kwani hawajakwambia umeitwa kwa interview lakini wanataka utume pesa kwanza?
Administrative officer,zilikuwepo nafasi 3Kaka Gilo24 ebu nidodose uliapply nini pale?
Kampuni umejitosheleza kuwa ipo au haipo??usiwakatshe tamaa wenzako
wamemtumia mtoto wangu eti atume elf 50 kwa tigopesa kwa ajili ya accomodation siku ya interview. nashawishika kuamini kuwa wote ni matapeli
waambie kwamba mnayo nyumba ya kufikia huko mtwara, hakuna sababu ya kutuma za accommoation