Walio itwa nafasi za uhakimu

actus

Senior Member
Oct 7, 2011
104
24
wale waliofanya usaili wa nafasi za uhakimu majina yametoka leo The Guardian june 22 kwa waliochaguliwa hongereni...
 
wale waliofanya usaili wa nafasi za uhakimu majina yametoka leo The Guardian june 22 kwa waliochaguliwa hongereni...
Asante kwa taarifa,wengine tuko mbali kupata magazeti siyo rahisi,kama kuna mtu anaweza kutuwekea hapa majina msaada tafadhali.
 
Pia kwenye Mtanzania ya leo 22/06.Hongereni.Tuliokosa tusikate tamaa,mapambano yanaendelea.
 
Waliopata wakajitahidi kuwa waadilifu hasa kutojihusisha na vitendo vya rushwa.
 
mmh kazi ipo! mliokosa poleni! ila naomba kuuliza kidogo kule kupanga vituo vya kazi kabla ya usaili ulizingatia vitu gani haswa? nlichotarajia ilikuwa ni kufanya usaili kila mtu anapewa marks according to his/her performance wakimaliza kufanya usaili ndo then wanaangalia waliofanya vizuri kuliko wengine kwa idadi ya nafasi zilizopo ndo wana allocate vituo vya kazi, au?!
 
Back
Top Bottom