Walio itwa kwenye usaili wa Uhamiaji.,

Status
Not open for further replies.
Nimeamini watanzania tumejaza mavi vichwani. Yaani hata kuona thread ni ya lini tunashindwa?? Twaanza kuweka mijina!!
We uliyefukunyua hii thread nakupongeza coz waweza ukawa uko ktk utafiti wa bongo za watz.
 
Acha lugha chaf.....we ndio unayo maana usingeandika hayo.
 
mi jina langu neriah martin niliomba kwenye nafasi ya mkaguzi msaidizi nisaidie ndugu
 
sasa ndugu kama unabusara ni bora utueleweshe wenzako mana wenzako hatufuatilii huwa tunakrupua tuu ina maana huyo jamaa ni muongo bado majina hawajatoa au imekuwaje tunaomba utufumbue macho wenzako
 
Wabongo tumerongwa na nani? Thread ya mwaka 2012 then leo iweje watoe majina wakati ni public day?? Pia ni jumapili?? Ndo maana kwenye usaili hua tunachemka!!! Poleni mliotoa majina na no zenu za simu
 
Sijajua nani katuroga. Kwa kweli uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana thats why tutakuwa masikini mpaka kufa. Hao wanaotoa mijina yao na namba zao za simu ni wasomi ambao wanalalamika wanakosa kazi kila siku, nani aajiri jinga jinga??
 
Stoooooop. Hii tread ni ya mwaka juzi 2012 jaman . Wabongo wa leo kuibiwa kazi rahisi sana.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom