Nichekie Elibariki Joseph Urio
Gazeti la Mtanzania la tarehe ya leo,wametoa majina waliochaguliwa kufanya usaili wa kujiunga na Idara ya uhamiaji.
mkanunue na gazeti info mmepewa na majina mnataka muwekewe enyi watz mbna mnapenda spoon feeding
hahaha yaani nimefika kwenye post yako imenibidi nicheke. Lol!Jamani hii mada ya mwaka jana na alieamua kuirudia ili kycheza na akili za watu ni mpuuzi aisee
Kijana angalia utarudi mbagala kwa miguu achana nao hao matapeli.Ndugu zangu msaada, kuhusu kazi za Tanzania international University kupitia Zoom tanzania.
Nilituma CV, na wamnitumia email kuwa nimekuwa short listed but natakiwa kudeposit 20,000/= kwa ajili ya interview. non refundable, wakidai kuwa hawana staff wa kufanya interview, so they have decided to hire interview panel.
Jamai hii siyo magumashi kweli? nifungueni macho hapa tafadhali
Kaka plz nichekie na mm jina emanuel t. Lemashoni