Walio hai wanaweza jitetea

Walio hai wanaweza jitetea

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
6,750
Reaction score
14,491
Usitungie marehemu hadithi kutafuta umaarufu; mambo ambayo wahusika ambayo can’t back up.

Wakati hata familia hawajaulizwa.


Hili ni jukwaa la merit
 
Mkuu akiguswa Magufuli, RIP lazima utoke mafichoni. Nadhani unatakiwa kukubali kuwa kuna watu aliwaumiza hivyo kila wakipata cha kumsimanga nacho watafanya hivyo.

Wacha ku dictate hisia za watu.
 
Back
Top Bottom