Mfukunyuzi
Senior Member
- May 30, 2012
- 125
- 9
kaka Jipangeeee !! We kama ulilamba dvn 3 ni wewe tatizo mkifika shule mnakalia Mapenzi hii ndo tatzo la kuanza mapenz ukubwani..!! Ulikuwa wapi primary na O-lvl tena nyie mkifika chuo ndo walewale mwisho wa siku unaambulia wale wadudu wadogo wanaokula kilo nzma ya nyama kwa kushobokea Mbunye.!! Xo dogo narudia tena Jipangeeeh !! Sasa mfano mzuri kwenye iyo actorial science wanataka watu ka 28 kwa iyo unataka kuniambia mwaka huu EGM Waliopata dvn1 ni watano (5) tu na wengne wakapa dvn 3 Huu ni upuuzi?? Kwa iyo unataka kuniambia wawaache washkaji wa EGM waliozibua dvn 1 zao za 5 na 6 even ya 7 na 8 wakuchukue wewe Kilazaa tena Kiaziii uliyepata dvn 3 tena nahisi ni ya kumi na 15 or 16 Hahahahah.!! Sasa kwa taarifa yako Mwaka huu EGM PCM and somehow PGM wametusua ile mbaya wewe kama shule Yenu walitaga ni Nyie bhana usitujumuishe na wengine.! Nadhani umenisoma>>>> Perry

mi nna one ila kwa ulichosema nakupinga!! afu kwenye blue..nadhan umekosea mkuu,jf wako weng na sio wote wana div1 au 2 kma wewe..so hiyo kauli kwenye blue nadhan unaumiza watu bila kujua!! nawakilisha...Kama wewe hujapata one pole watu tumetupia one ,div3 ni bora muombe ruco,tumaini n.k,udsm ni div i na ii tena ya kumi!
Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba nimekosa kozi zote mbili nilizojaza UDZM na wewe kama umejaza udzm kozi zifuatazo check hz cut-off point then utajua kama umo ama ndo ushapigwa nje !!
1.BIOTECHNOLOGY -10.5 up to 6.5
2.Bachelor of science with geology- 13 up to 10.5
3. Actorial - 13 up to 11
4. Telecommunication- 15 up to 12
But nimeshangaa sana mimi kuachwa kwenye hiyo biotechnology coz nina cut off point 7
nichekie O.I.Likowa POLITICAL SCIENCE / LAWkaka nitumie jina lako na kozi ulizojaza nikuchekie kama utakuwemo !!