Walimwengu uzandiki tuuache πŸ˜…

Raba kali

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
213
Reaction score
491
Hivi leo jihani watu wanalia kwa uchungu eti katuheshimisha watanzania πŸ˜…

Kuna watu wameonekana wana uchungu na furaha kubwa kuliko hata yeye mwenyewe, waliomzaa pengine na waliompambania

Eti mtu analia kabisa "Eti ohhh asante mama na Tanzania ya awamu ya sita ina makubwa". Sasa kama hawa pumbav wanalia nini hapa? πŸ˜…

You better watch your back
 
Kuna kitu watu hawakielewi hapa.... wajinga ni walioingia
kichwa kichwa ila hii ilikua project ya watu; wamepiga pesa nyingi na wataendelea kupiga pesa kipindi chote huyu dada akiwa onstream. Nyie endeleni kulialia na harakati zenu watu wanamake
 
hii nguvu ingewekwa kwenye katiba tungekua nayo muda huu
Kivipi mkuu? Maisha ya vijana sio wezeshi. Mianya ya upigaj nchin ni mingi kupita maelezo. Serikal inahangaika na machinga? Katiba inalionaje hili
 
Kuna kitu watu hawakielewi hapa.... wajinga ni walioingia
kichwa kichwa ila hii ilikua project ya watu; wamepiga pesa nyingi na wataendelea kupiga pesa kipindi chote huyu dada akiwa onstream. Nyie endeleni kulialia na harakati zenu watu wanamake
Kivipi? Hiyo movement unavyoiona haifiki 20 ishasahaulika. Kuanzia siku 5 zijazo kila mtu kashasahau hii ishu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…