Walimu wenye uzoefu Serikalini

Walimu wenye uzoefu Serikalini

ms babysitter

Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
55
Reaction score
5
Ni kweli kuwa mshahara wa kwanza lazima uupokelee mkononi kutoka halmashauri? Namaanisha kuwa mshahara wa kwanza kabisa hauingizwi kwenye account yako?
 
siku hizi hakuna utaratibu huo..mishahara yote inapitia benki ndo mana walimu wapya wanatakiwa kujiunga na benk ili kupata akaunt(NMB wamehodhi nafasi hiyo)
 
Tangu mshahara wa kwanza unapokelea benki.Ndio maana wafanyakazi wapya wanatakiwa kufungua akaunti benki na kuzipeleka akaunti namba zao kwa mwajiri wao.HAKUNA MFANYAKAZI YOYOTE HATA MWALIMU ANAYEPOKEA AU ALIYEPOKEA MSHAHARA WA KWANZA MKONONI.KAMA HUNA AKAUNTI NAMBA,HUPATI MSHAHARA.
 
Kuna baadhi ya halmashauri zinamtindo wa kutolea pesa dirishani, hasa wilaya zilizo korofi Na wanademand vyeti wakati wa kuchukua pesa.

Niliiona hii mwaka Jana halmashauri ya Singida, walifanya hivyo kwa mda wa Kama miezi miwili hivi.
 
siku hizi hakuna utaratibu huo..mishahara yote inapitia benki ndo mana walimu wapya wanatakiwa kujiunga na benk ili kupata akaunt(NMB wamehodhi nafasi hiyo)

wanatoaga mkononi endapo hazina watakuwa hawajatoa pesa hivyo zile wanazowapatia ni kama mmekopeshwa then hazina wanawalipaga mi nlipataga hivyo miezi 2 na nlifurah maana hamna makato
 
Back
Top Bottom