Tunahitaji walimu wawili wenye uwezo ufuatao
1. Waujue vizuri mtaala wa hesabu wa shule ya msingi
2. Wajue kutumia kompyuta
3. Wajue lugha ya kiingeleza kwa ufasaha ( kuandika na kuongea)
4. Wajue kutafasiri mabandiko.
Piga simu 0715531232 kama unavigezo hvyo hapo juu.