Walimu watangaza mgomo nchi nzima

Huyu Rais wa CWT mimi kwangu ni mnafiki wa hali ya juu na ifike hatua huyu kibabu walimu wamkatae maana matamko yake mengi hayana application
 
Si mnavuna mlichopanda?. nyie ndio mnaoshiriki kuiba kura zetu ili kuwaweka mafisadi madarakani sasa mnalalama nini? Mlipopanda bangi mlitegemea kuvuna mchicha?
 
Nimekwisha choka na hawa jamaa kwa kutangaza vitu ambavyo baadaye wanashindwa kuvitekeleza. Hawa jamaa na TUCTA ni wazushi tu na kutaka umaarufu, kwa nini msigome tu? Wekeni super strategies na kutoa fundisho kwa serikali. Mbona sisi pale Mlimani wakati wetu tulikuwa tukiamua kesho tunagoma na tunagoma na kupambana na polisi - vichwa vya ngo'mbe - pale Jamhuri street au ni tatizo la kutokuwepo 'national service' (jeshi la kujenga taifa)?
 
jamani tusiwabeze wala kuwapuzia walimu maana wana madai ya msingi na wanaonewa sana! we need to support them morally!
 
ndo take home ya mwalimu, askari polisi, magereza, na idara nyingine kibao kama malipo ya kazi yao ya mwezi mzima
Minjago haielewi yenyewe ni kutumwa tu kupiga tunapoisaidia ipate haki! yanaponea Rushwa!!
 
Hawana jimpya hawa wanatishiwa nyau wananywea kama wanapigania haki yao kweli wangekuwa na msimamo na umoja
 
wakigoma hawa tanzania tunasogea hatua moja mbele kimaendeleo..
angalia tu bwana msiba usije butuliwa na washika chaki wenzako..
 

Kama hali ndo hii Jk anaweza kuinvest kwenye elimu? Na je itakuwa ni elimu bora kama mwalim hajui atakula nini baada ya kazi?
 
Hii yote ni matokeo ya laana juu ya taifa hili ambalo kiongozi wake mkuu analindwa na jeshi la majini badala ya malaika wa Mungu!!!!!!!!!!!!!!!!! Utegemee nini kutoka kwa mashetani ambayo ndiyo watawala wa nchi hii????????????????? Na bado makubwa zaidi yanakuja-mtayaona!!!!!!!!!!!!!!
Walimu kugoma ni ndoto ya mchana-si mpo mtaona tarehe hizo za Makoba zikifika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
jamani tusiwabeze wala kuwapuzia walimu maana wana madai ya msingi na wanaonewa sana! we need to support them morally!

Hakika umenena, shamwambia mamsampu wangu awe wa kwanza kugoma siku hiyo, wanaonewa sana!
 
These poor people will never achieve anything because of fragmentation within themselves. Mkoba hatafanikisha lolote. walimu ni ignorants, waoga etc.
 
Ahh january mwakani?!! nilidhani wanaanza kesho ili tujiunge humo mbele kwa mbele
 
WALIMU bana they never stop amazing me.... fundisheni watoto na vijana kwamba jembe na nyundo na rangi ya kijani ni janga la karne na millenia!!! huu upuuzi wa mkoba sijui mfuko ni kuganga njaa tu,, anajua anachotafuta huyo na katu hawezi kua kimaslahi ya walimu hata siku moja

Walimu tafakarini na mchukue hatua..
 
Walimu ni kama jukwaa la katiba tu. Kelele nyingi vitendo hakuna. Siwaamini.
 
Hayo ndo mambo ila nina wasiwasi kwani huwa wanaishia kutangaza tu na kupiga mkwara serikali ambayo imeshagundua hii style hivyo inajipanga kuwapa moyo kwa tulizo la ahadi hewa
 
Walimu komaeni mpaka kieleweke.

Haiwezekani wewe take home yako kwa Mwezi inakuwa sawa au inazidiwa na SEATING ALLOWANCE ya MBUNGE kwa siku moja!!!

WAALIMU mkidai mafao na marupurupu yenu mnaambiwa ati sirikali HAINA HELA ZA KUWALIPA WAALIMU. Lakini sirikali hiyo hiyo WABUNGE WAKIDAI NYONGEZA YA POSHO ZA VIKAO PESA IPO TENA KWA ASILIMIA 285(285%)!!!!

Ndiyo maana tunasema HII SERIKALI YA CCM HAITUFAI KWA SASA KWA VILE HAISHUGHULIKI NA MATATIZO YA MSINGI YA WANANCHI BAALI KUTWA KUCHA INAHANGAIKIA MASLAHI NA MARUPURUPU YA WANASIASA TU!

Hii haikubaliki hata kidogo. Haiwezekani KEKI YA TAIFA ILIWE NA WAJANJA WACHACHE!!!This must be stopped once and for all.
 
Huyu Baba ni mzushi, ndumira kuwili teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…