Juma wa Juma
Senior Member
- Jan 13, 2017
- 150
- 221
Hii nchi walimu wanaofundisha uraia wanakazi ngumu sana, unaweza kufundisha asubuhi majina ya viongozi mfano mkuu wa mkoa au waziri, kabla hujamaliza kipindi yule uliyemtaja sio tena waziri au mkuu wa mkoa.