falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,229
- 9,357
Nimeamua kuwatetea walimu manake imeonekana ni sector ilidharaulika kuliko hata uderevaCwt ni genge la wahuni wanaokula kiulaini kupitia shida za walimu,mara 100 wangekua wanatatua shida za walimu,cwt ndani ya mwaka mzma ndani ya wilaya 1 hutatua shida ya mwalimu 1 au wawl;wanatatua matatzo kwa sampling;hela wanayochota ni kubwa kulinganisha na huduma anayopata mwl toka kwao;walimu tupambane kuanzisha vyama vya kututetea viwe vingi,Inawezekana Tukishikama..
Nakwambia hata madereva wanasikilizwa lakini sio walimukama ni jambo linalo wezekana walimu kadhaa watafute wataalamu wa sheria wapeleke malalamiko mahakamani. nadhani mahakama ndio sehemu pekee unapoweza pata haki yako, hivyo walimu waache kuwa wanyonge na kukubali kukandamizwa na kila mtu
kuanzishwe vyama vingi vya walimu walimu wachague chenye maslahi kwao,enzi zile kulikuwa na mifuko ya jamii miwili tu PPF na NSSF,sasa iko zaidi ya kumi,kuwe na chama cha walimu wa shule za msingi ,skondary,private,government etc na mwanachama aruhusiwe kuchagua mwenyewe chama kipi kinamfaa
Hehehe wanafidiaHapa yanahitajika maamuzi magumu kama alivyothubutu mh raisi Magufuli kwenye sekta mbalimbali. Kwa hiyo raisi ajitose tu kuwaokoa waalimu kwenye hili jahazi la Cwt.... Cha ajabu viongozi wa cwt walikuwa waalimu.... sasa hivi wanakula maisha kwa anasa zote walizozikosa siku za huko nyuma
Aisee pole sana kwa mzee hakika wewe mwanae uko responsible kusimama kwenye haki zakekuendelea kuisupport cwt, ni kielelezo cha ujinga. Mzee wangu alianza kazi 1980,kastaafu kwa hiari amekaa miezi 7 pspf kabla hawajampa fedha zake na wala cwt hawakumsaidia lolote ambayo ameichangia maisha yake yote ya kazi. kwa pension bora Nssf.