School face
JF-Expert Member
- Sep 12, 2019
- 247
- 412
Kumbe ndo maana yake duuuhUnapoambiwa magufuli ameumiza watumishi huo unaelewa nini?
Unachekesha sana, kwako usimamizi wa uchaguzi ni kazi isiyo na hadhi ya kufanywa na mwalimu?Habari wana Jf
Jana katika pitapita zangu nikapita kwenye ofisi mmoja hivi nikakutana na umati wa watu wengi nilipo ulizia Kuna nini hapa nikaambiwa Kuna usaili unafanyika maeneo haya na ni usaili wa kutafuta wasimamizi watakao simamia vituo vya kupiga kura
Kama ilivyo zoeleka kuwa wasimamizi wengi hua ni walimu wa shule za msingi na baadhi ya walimu wa shule za secondary.
Lakini nilisikitika sana baada ya kuwaona baadhi ya walimu wa chuo flani ivi tena chuo kikubwa wakiwa nao wamepanga foleni kwaajili ya usaili kwakwel nilijiuliza maswali mengi sana lakini sikuweza kupata majibu.
Je ni sahihi walimu wa vyuo kuomba nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura.
Yule jamaa kaharibu sana hii nchi anajali matumbo ya ndugu zake basi tu...! Watu miaka 5 wapo kitaa tu wanakula msoto, Wengine hawakumbuki hata walisomea masomo gani sabu wanapambana na mishe zingine ilimradi familia ziende toilet..Habari wana Jf
Jana katika pitapita zangu nikapita kwenye ofisi mmoja hivi nikakutana na umati wa watu wengi nilipo ulizia Kuna nini hapa nikaambiwa Kuna usaili unafanyika maeneo haya na ni usaili wa kutafuta wasimamizi watakao simamia vituo vya kupiga kura
Kama ilivyo zoeleka kuwa wasimamizi wengi hua ni walimu wa shule za msingi na baadhi ya walimu wa shule za secondary.
Lakini nilisikitika sana baada ya kuwaona baadhi ya walimu wa chuo flani ivi tena chuo kikubwa wakiwa nao wamepanga foleni kwaajili ya usaili kwakwel nilijiuliza maswali mengi sana lakini sikuweza kupata majibu.
Je ni sahihi walimu wa vyuo kuomba nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura.
Kwani walimu ni wafanyakazi wa tume?Unachekesha sana, kwako usimamizi wa uchaguzi ni kazi isiyo na hadhi ya kufanywa na mwalimu?
Pole sana, hata mie nilikuwa na mawazo kama yako ila baada ya kufanikiwa kuwa na mwanafamilia ambaye ni police yamebadilika. Hata wewe siku ukifanikiwa kuwa na japo rafiki ambaye ni police wa cheo cha kati utajua ninachomaanisha.Kwani walimu ni wafanyakazi wa tume?
Kama una watoto usikubali wawe walimu au Polisi
Huo ni uzalendo ! Au ulitaka Uchaguzi usimamiwe na wakora wa ufipa ?
Mkuu,tanpol sio watu.Pole sana, hata mie nilikuwa na mawazo kama yako ila baada ya kufanikiwa kuwa na mwanafamilia ambaye ni police yamebadilika. Hata wewe siku ukifanikiwa kuwa na japo rafiki ambaye ni police wa cheo cha kati utajua ninachomaanisha.
Mtendaji wa kata gani ambaye ni form 4 failure?Utakuta huyo mkufunzi wa chuo sasa anasailiwa na kadem kamtendaji wa kata,tena ka form 4 failure[emoji16].
We umekatazwa?Habari wana Jf
Jana katika pitapita zangu nikapita kwenye ofisi mmoja hivi nikakutana na umati wa watu wengi nilipo ulizia Kuna nini hapa nikaambiwa Kuna usaili unafanyika maeneo haya na ni usaili wa kutafuta wasimamizi watakao simamia vituo vya kupiga kura
Kama ilivyo zoeleka kuwa wasimamizi wengi hua ni walimu wa shule za msingi na baadhi ya walimu wa shule za secondary.
Lakini nilisikitika sana baada ya kuwaona baadhi ya walimu wa chuo flani ivi tena chuo kikubwa wakiwa nao wamepanga foleni kwaajili ya usaili kwakwel nilijiuliza maswali mengi sana lakini sikuweza kupata majibu.
Je ni sahihi walimu wa vyuo kuomba nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura.
πππUtakuta huyo mkufunzi wa chuo sasa anasailiwa na kadem kamtendaji wa kata,tena ka form 4 failure[emoji16].
SikuwUnachekesha sana, kwako usimamizi wa uchaguzi ni kazi isiyo na hadhi ya kufanywa na mwalimu?
Huenda ni jambo ambalo sikuwahi sikia au kuona wakufunzi wa vyuo kusimamia uchaguziUnachekesha sana, kwako usimamizi wa uchaguzi ni kazi isiyo na hadhi ya kufanywa na mwalimu?