Walimu wanahitajika

Walimu wanahitajika

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Walimu wa masomo haya hapa wanahitajika
Agriculture,Book Keeping,Commerce na IT. Walimu wenye shahada au hastashahada watapewa kipaumbele. Sehemu ya kazi ni mkoani Kagera. Mazingira ya kazi ni mazuri ,tunatoa nyumba kwa walimu na benefits nyingine. Karibu na waweza nipigia kupitia 0757297942 karibu sana.
 
Back
Top Bottom