Walimu wanahitajika

Walimu wanahitajika

dad24

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
464
Reaction score
121
Shule ya sekondari Bravo yenye namba ya usajili S.2394 iliyopo Ifakara Wilaya ya Kilombero mkoa wa morogoro inatangaza nafasi za kazi ya kufundisha masomo yafuatayo:-
1.Physics/Mathematics
2.Book-keeping/Commerce
3.English/Kiswahili
4.English/History
5.Biology/Chemistry
Sifa za muombaji:
1)Awe na stashahada au Shahada ya ualimu
2)Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu
3)Awe na uwezo wa kutumia kompyuta
Mshahara:
Mshahara mzuri pamoja na marupurupu utatolewa Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na
Mkuu wa shule,
S.L.P 238,
Ifakara,Morogoro
Namba za simu:0784-364850/0757-070915/0713-788033
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10/4/2014 na usahili utafanyika tarehe 12/4/2014 shuleni Bravo Ifakara wilaya ya kilombero mkoa wa morogoro.

Kwa kazi zingine usisite kutembelea AJIRA ZETU
 
mengne yote yako waz mbna posho,marupumarup na mshahara kuna pasword?
 
mengne yote yako waz mbna posho,marupurup na mshahara kuna pasword?
 
Huwa natamani nipate mahali nikate nyanga part time, madesa yangu yanafia kichwani wakati walimu wa namba ni ama wachache au hawalipendi somo.
 
Huwa natamani nipate mahali nikate nyanga part time, madesa yangu yanafia kichwani wakati walimu wa namba ni ama wachache au hawalipendi somo.

g.p.a inasoma lakini nikupe dili?
 
Back
Top Bottom