Walimu wanahitajika haraka Greenbird High School

Walimu wanahitajika haraka Greenbird High School

Eb weka vzur tangazo lako tuelewe.....shule ipo wap....mishahara yao vp... mikataba yao ipoje vitu ka vo
 
daaah tangazo liko nusu saaaana em fanya kuliandika vizur lieleze vizur shule iko wapi...vigezo wanavyotaka,mishahara mambo ya accommodation km yapo ili mtu unapofanya maamuzi uwe umerdhia!!
 
Hii shule kila mara mnatangza kaz,, lazima mna shida nyie! Hii shule ipo mwanga kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom