Katika hali isiyo ya kawaida halmashauri ya musoma vijijini imeanza kukata kodi za nyumba za shule,walimu hawa wanakatwa kodi kulingana na ngazi ya mishahara, makato haya yanaonekana moja kwa moja salary slip,kibaya zaidi walimu wanahamasishwa kuishi katika mazingira ya shule hata ili watoe huduma nzuri kwa watoto, kinyume na matarajio wakatwa hata bila kushirikishwa! je hii ni haki? mnisaidie!