Crypto1987
Senior Member
- Jan 3, 2018
- 137
- 100
WALIMU WATELEKEZWA WILAYA YA KWIMBA.
Tunaomba idara zinazohusika ziwasaidie walimu Hawa.
Ni uhamisho ulotolewa kwa walimu wengi ndani ya wilaya hii ya KWIMBA ILIYOPO MKOA WA MWANZA.
Uhamisho umetolewa siku nyingi Sana 25/03/2019.
Lakini cha ajabu walimu Hawa wametelekezwa,
Hawajapelekwa kwenye vituo vyao vipya,
Wengine wanalazimika kusafiri km kadhaa kwa miguu au baiskel ili kufika kufundisha katik vituo vyao vipya.
Wengine hawaendi ktk vituo vyao vya kazi kutokana na umbali wa shule ilipo.
Ikumbukwe kuwa halmashari zingine zimewalipa walimu wao muda mrefu saana, Iweje wilaya hii ya Kwimba?
Je kwa nini mkurugenzi kahamisha walimu bila kuandaa stahiki zao?
Kitendo hiki kinaangamiza taaluma makazini, mwalimu anahamishwa, anakaa miezi 6 bila kupewa stahiki zake, bila kupelekwa kituo kipya, kufeli kwa wanafunzi mara nyingi inachngiwa na viongozi wa juu mfano mkurugenzi.
WALIMU HAWA WANAOMBA SERIKALI IINGILIE KATI, ILI WAWEZE KULIPWA STAHIKI ZAO NA KUPELEKWA KTK VITUO VYAO VIPYA