1. Siyo walimu wote ni walimu. Wengi wameingia kwenye fani ya ualimu ili kupata ajira kirahisi na mshiko basi... Lakini miiko, maadili na taratibu za ualimu ni weupe.Ili kuboresha elimu yetu, ni wakati sasa Serikali kupima uelewa wa walimu inao ajiri.
Shule binafsi haiwezi pokea Mwalimu bila usaili na kumuona kama atawafaa au la.
Serikali kama inafanya usaili kwenye kada nyingine, kwanini hili kundi halifanyiwi usaili?
Kuna walimu wengi ukiwapa maswali ambayo hawajawahi yaona ila topic ile ile wanapotea kabisa.
Walimu wengi wanafundisha kwa mazoea
NB:
Nina ndugu, marafiki, mashemeji ambao ni walimu
Kwa hiyo kemebos, fezo school, ahmes etc zile 1.7 zao ni feki?Wanafunzi ni kama mbegu hawawezi kufaulu wote au wakifeli wote ni tatizo,ni lazima kwenye actual sense kuwe na diversity,Kwa Nini watu mara zote wanatamani Kila mwanafunzi apate div one na wakati madaraja ya ufaulu yapo ma nne,A,B,c,d na hii ni dunia nzima siyo Tanzania peke yake,watu wanalazimisha Kila mwanafunzi apate division one au two,wanafunzi hata kama wapo darasa moja Kila mmja anauelewa wake
No body amesema ni feki watoto wanaoenda hapo wapo vip? Miundombinu IPO vip,Kuna classes katika mfumo wa elimu,tumetengeneza matabaka Kwa pesa,ilitakiwa shule zote ziwe na standard sawa,Kwa hiyo kemebos, fezo school, ahmes etc zile 1.7 zao ni feki?
kama kuna kada inafuatiliwa kwa karibu ktk utendaji kazi, ya ualimu inaongoza, ndoo maana kuna mpk kitengo cha ukaguzi ambacho kinawakagua waalimu mara kwa mara. wakati kada nyingine toka mtu anaajiriwa mpk anastaafu hajawahi kukaguliwa utendaji kazi wakeIli kuboresha elimu yetu, ni wakati sasa Serikali kupima uelewa wa walimu inao ajiri.