Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,898
- 1,505
Ishu halisi sio viboko, ni michango iliyokithiri bila maelezo aliyokuwa anachangisha huyo m/mkuu. Viboko vimetumika tu kama tafsida kulinda watu
FROM RELIABLE SOURCE.
kama ishu ni michango,hiyo shule haina mwenyekiti wa kamati ya shule,?mwkiti wa kijiji?? diwani??kamati ya shule si ndo inaidhinisha michango yoyote??? walipeleka malalamiko yao huko??
hao wananchi ni wapumba
vu tena wapumbavu Sana..
kama wanaona elimu ghali.wajaribu ujinga