Halafu yule jamaa 'dhaifu' anapeleka mnahii wake Uingereza kujifunza uzazi wa mpango
wakaze buti kama madaktari bwana hii habari ya kila siku stori ndio inaleta shida kubwa
na mambo hyaendi bwana
that's what i thought....Walimu hawawezi kugoma na daima hawateweza sababu vyeti vyao vina shida na pengine akili ya kutatua matatizo yao wameachia chichiem
Huku chama cha walimu kikiwa bado kimya kuhusiana na mgomo wa walimu.Walimu mkoani Dodoma wameanza mgomo huo kimya kimya katika shule mbalimbali za mkoa huu.Nikiongea na baadhi ya walimu ambao hawakutaka majina yao kutajwa hadharani wamesema hawatasubiri tamko la CWT kwani wao ndio wanaoathirika kwa kiasi kikubwa.Wametoa wito kwa walimu nchini kote kupigania haki zao wenyewe na wameomba kuungwa mkono katika swala hili na pia wamewaomba walimu kuacha woga kwani woga ndio yatakuwa mateso yao.
Kama kweli wana dhamira ya dhati ya kudai haki zao kwa nini wagome kimya kimya?Huku chama cha walimu kikiwa bado kimya kuhusiana na mgomo wa walimu.Walimu mkoani Dodoma wameanza mgomo huo kimya kimya katika shule mbalimbali za mkoa huu.Nikiongea na baadhi ya walimu ambao hawakutaka majina yao kutajwa hadharani wamesema hawatasubiri tamko la CWT kwani wao ndio wanaoathirika kwa kiasi kikubwa.Wametoa wito kwa walimu nchini kote kupigania haki zao wenyewe na wameomba kuungwa mkono katika swala hili na pia wamewaomba walimu kuacha woga kwani woga ndio yatakuwa mateso yao.