Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,133
- 2,128
TAMISEMI matatizo kila kona.Wameandamana wakishinikiza kulipwa madeni yao zaidi ya Milioni 78 na kuituhumu halmashauri kutowapandisha madaraja kwa wakN:B halmashauri ya Morogoro jiandaeni haiwezekani mwalimu aliyeajiriwa mwaka 2011 bado anapokea mshahara sawa na waajiriwa wapya bila increment yoyote.
TAMISEMI matatizo kila kona.
TAMISEMI matatizo kila kona.
Mkuu na wewe ni mwalimu?Tamisemi wanasema hawana ela, walimu hawapandi madaraja, ela za rikizo tatizo, madeni Wengine wamesha yasahau. Hii serikali ya JK zero kabisa
Wameandamana wakishinikiza kulipwa madeni yao zaidi ya Milioni 78 na kuituhumu halmashauri kutowapandisha madaraja kwa wakati.
N:B halmashauri ya Morogoro jiandaeni haiwezekani mwalimu aliyeajiriwa mwaka 2011 bado anapokea mshahara sawa na waajiriwa wapya bila increment yoyote.
kwani halmashauri ndiyo inayopandisha madaraja?
Hawajapewa shavu selikali za mitaa. Maana kwenye chaguzi walimu ndio wanapataga visenti vya chumvi harafu kimyaa.
si ndio hawa wanaotumiwa na serikali kuchakachua kura za upinzani, nasema na wasilipwe kabisa na wakiandamana wapigwe mabomu
Wakipigwa mabomu tatizo litakuwa solved?
si ndio hawa wanaotumiwa na serikali kuchakachua kura za upinzani, nasema na wasilipwe kabisa na wakiandamana wapigwe mabomu