Suala la uchaguzi ni jambo
nyeti sana linalohitaji umakini mkubwa unapotaka mtu kuwa kiongozi
wako.Unapoweka ushabiki wa kisiasa au ukaendekeza njaa matokeo yake ni
kupata viongozi wa jamii hiyo wasiojitambua.Wana wa Sumbawanga wakati
umefika wa kubadilika na kuwaweka viongozi ambao wanaupeo wa mbali.Elimu
ni jambo la msingi ambalo kwa karne ya sasa halikwepeki.Siku nyingine
usitoe nukuu za namna hiyo kwani zinawazalilisha wapenda mabadiliko ya
kweli ndani ya Sumbawanga.