Walimu wa special needs tujadili yetu hapa

Joined
Mar 26, 2018
Posts
76
Reaction score
38
Walimu wa special needs njooni tubadilishane mawazo kuhusu career yetu
Je ajira za special needs zinapatikana ?
Ni changamoto gani za career hii
 
MIMI BINAFSI SIJASOMEA SPECIAL NEEDS LAKINI NIMEKUWA NA WITO HUO KIASI CHA KUJIFUNZA ALAMA ZA VIZIWI MWENYEWE HUKU SHAHUKU YANGU IKIWA KUSOMEA SPECIAL EDUCATION BAADA YA KUMALIZA ELIMU YANGU YA SEKONDARY LKN KILICHONIKATISHA TAMAA NI PALE NILIPOENDA PATANDI COLLEGE ARUSHA KUNIAMBIA SIWEZI KUSOMA PALE MPAKA NIWE MWALIMU MWENYE UZOEFU WA MIAKA 3 KATIKA UALIMU WAKAWAIDA.NIKA JARIBU TENA KUTAFUTA KUSOMA ALAMA PEKEE PALE CHUO CHA UDOM KAMA COURSE YA ZIADA NIKAAMBIWA HAKUNA WALIMU LABDA UTAFUTE PESA UWAITE UWALIPE.NILISHANGAA HATA WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA SPECIAL EDUCATION HAWANA WALIMU WA ALAMA .

WAKATI FULANI NIKAENDA BUGURUNI KUTAFUTA KAMUSI ZA ALAMA PIA SIKUFANIKIWA KWAKWELI NILIKATA TAMAA KABISA.
Ndomaana hawa watoto wanafeli sana walimu hatuandaliwi vizur na pia katika hizo shule ambazo zina hawa watoto walimu wenye ujuz wa kuwafundisha hawapo wengi au shule zingine hamna kabisa
 
MIMI BINAFSI SIJASOMEA SPECIAL NEEDS LAKINI NIMEKUWA NA WITO HUO KIASI CHA KUJIFUNZA ALAMA ZA VIZIWI MWENYEWE HUKU SHAHUKU YANGU IKIWA KUSOMEA SPECIAL EDUCATION BAADA YA KUMALIZA ELIMU YANGU YA SEKONDARY LKN KILICHONIKATISHA TAMAA NI PALE NILIPOENDA PATANDI COLLEGE ARUSHA KUNIAMBIA SIWEZI KUSOMA PALE MPAKA NIWE MWALIMU MWENYE UZOEFU WA MIAKA 3 KATIKA UALIMU WAKAWAIDA.NIKA JARIBU TENA KUTAFUTA KUSOMA ALAMA PEKEE PALE CHUO CHA UDOM KAMA COURSE YA ZIADA NIKAAMBIWA HAKUNA WALIMU LABDA UTAFUTE PESA UWAITE UWALIPE.NILISHANGAA HATA WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA SPECIAL EDUCATION HAWANA WALIMU WA ALAMA .

WAKATI FULANI NIKAENDA BUGURUNI KUTAFUTA KAMUSI ZA ALAMA PIA SIKUFANIKIWA KWAKWELI NILIKATA TAMAA KABISA.
Hongera mkuu
 
Mungu atawabariki tu ndugu zangu
 
Poleni sana...

Unaneni na Khadija Mwanamboka yule mwana mitindo...

Ana connection za hayo mambo ya special needs...

Cc: mahondaw
 
Nikitazama wanafunzi hawa wanavyofeli kwa kukosa walimu maalumu wa mambo hayo nabaki nmeshika tama na kujiuliza hivi serikali ina mpango gani na hawa watoto? Inauma sana
 
Back
Top Bottom