Walimu wa sayansi na hesabu Kibaha

Walimu wa sayansi na hesabu Kibaha

Kama unamjua mwalimu wa sayansi na/au Hesabu anayetaka kuanza kazi mwanzoni mwa mwezi kesho (January) anitumie cv yake na barua fupi ya maombi kwenye email address hii:resbijura@yahoo.com au bijuraa@yahoo.com. Anaweza kutuma na text message kwenye namba hii: 0755872551 au 0654453579 kueleza kuwa ameishatuma email. Tunapokea maombi mpaka Alhamisi tarehe 31 Dec.

Mwalimu wa primary au secondary school?
 
Back
Top Bottom