TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Kutokana na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo ya sayansi kwenye sekondari zetu, tunakaribisha vijana wanaosoma Sciences na Engineering kwenda kufundisha kwenye Sekondari za Musoma Vijijini wakati wa likizo ndefu za vyuo vyao au wakati wakiwa bado hawajapata ajira. Fanyeni mawasiliano na Ofisi ya Mbunge kupitia:
maonoblessing15@gmail.com
S Muhongo, Mbunge
maonoblessing15@gmail.com
S Muhongo, Mbunge