Walimu wa kiswahilli na history 4 kila somo 2

mtamaushi2

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
403
Reaction score
391
Wanahitajika walimu wa kiswahili na history level ya chuo wenye GPA 3.8 na kuendelea.
Mshahara:
Miez 4 ya mwanzo ni laki 4.
Ukikubaliwa na kupewa mkataba ni sh laki 7.

Wanaohitajika:
2 wanawake na 2 wanaume.

Shule ilipo: mkoa wa mwanza. Form 1-6
Kwa wenye vigezo wanipm, wachache watapata nafasi.
 
Walimu fulsa hizo mchangamkie sasa.

Bila shaka utapata hadi wenye GPA za 4 mkuu.
 
duh wewe unataka waalimu qualified au GPA hakuna relation yoyote ya GPA na good classroom teacher
endelea na kuamimi ivo ivo.... nchi nzima inaamini gpa nzuri ndo inadetermine compitent ya mtuu wee unakalia kutoa machoo.. GPA kwanzaaaasa mengine yatafuata
 
FAIDA ZA MBILIMBI:
1. Huleta nafuu kwa wagonjwa wa saratani

endelea na kuamimi ivo ivo.... nchi nzima inaamini gpa nzuri ndo inadetermine compitent ya mtuu wee unakalia kutoa machoo.. GPA kwanzaaaasa mengine yatafuata
Na doubt kama you really have university education...... kwasabb chuoni wanao pata GPA kumbwa sio necessarily genius pple. wengi wanasaidiwa na wa GPA za kawaida tu.....kumbuka plz
 
Post yangu umeitoa wapi kuja kuiunganisha humu na kuniweka sawa na huyo uliyemjibu?una maanisha nn kufanya hivyo?
Na doubt kama you really have university education...... kwasabb chuoni wanao pata GPA kumbwa sio necessarily genius pple. wengi wanasaidiwa na wa GPA za kawaida tu.....kumbuka plz
 
Wanahitajika walimu wa kiswahili na history level ya chuo wenye GPA 3.8 na kuendelea.
Mshahara:
Miez 4 ya mwanzo ni laki 4.
Ukikubaliwa na kupewa mkataba ni sh laki 7.

Wanaohitajika:
2 wanawake na 2 wanaume.

Shule ilipo: mkoa wa mwanza. Form 1-6
Kwa wenye vigezo wanipm, wachache watapata nafasi.
Laki nne tuu,Laki si pesa= si pesa nne.
 
Laki nne tuu,Laki si pesa= si pesa nne.
Kuna watu wanaitaka hiyo nne, kama chai na chakula cha mchana na malazi unapata nne haikutoshi? Halafu baada ya miezi 4 mshahara unapanda. Wabongo tunapenda mteremko saanaa
 
Wanahitajika walimu wa kiswahili na history level ya chuo wenye GPA 3.8 na kuendelea.
Mshahara:
Miez 4 ya mwanzo ni laki 4.
Ukikubaliwa na kupewa mkataba ni sh laki 7.

Wanaohitajika:
2 wanawake na 2 wanaume.

Shule ilipo: mkoa wa mwanza. Form 1-6
Kwa wenye vigezo wanipm, wachache watapata nafasi.
Mkuu tayari nimeku Pm.
 
unataka gpa ya nne ukamlipe laki 4 doh
 
unataka gpa ya nne ukamlipe laki 4 doh
Akili yako ilivyofupi umeshindwa kufikiria mbele, ww umeona Laki 4 tu, kwenye tangazo linaonesha baada ya miez 4 atalipwa laki 7, hiili wewe hujaona, hakuna mwajili ataanza kukulipa mshahara mkubwa mwanzoni labda serikalini.
 
Wanahitajika walimu wa kiswahili na history level ya chuo wenye GPA 3.8 na kuendelea.
Mshahara:
Miez 4 ya mwanzo ni laki 4.
Ukikubaliwa na kupewa mkataba ni sh laki 7.

Wanaohitajika:
2 wanawake na 2 wanaume.

Shule ilipo: mkoa wa mwanza. Form 1-6
Kwa wenye vigezo wanipm, wachache watapata nafasi.
Nansio( Mza) Kwimba( Mza) nassa ( Mza) mwanza kubwa sana.
 
endelea na kuamimi ivo ivo.... nchi nzima inaamini gpa nzuri ndo inadetermine compitent ya mtuu wee unakalia kutoa machoo.. GPA kwanzaaaasa mengine yatafuata
Competence and not compitent.
Hivyo na sio ivo. Na unataka GPA 3 +
 
Back
Top Bottom