Ajifikiriavyo mtu ndivyo alivyo. Mimi sio duni kiasi hicho. Usiwe na mawazo madogo kihivyo utajikuta unaiba hata visivyo ibika. Hebu fikiri;
Kama ukichukua mkopo ukaanzisha kaduka hapo karibu na shule, mkeo akakaa humo. Hebu fikiri, ukianzisha hata Saloon ya kunyolea wanafunzi hapo shuleni. Hebu fikiri, ukiweka mashine ya kusaga karibu na unapoishi.
Tuwe wabunifu mkuu. Waalim wengi wamechangamkia fursa zilizopo kwenye financial institutions nao wapo mbali leo.
Kilichofanya waalim wengi wakadharaulika ni kukubali kuwa duni.