Wewe ndo huna tabia ya ualimu ni kulalamika tu, ata mshahara huo unakutosha.sisi siyo wahuni wenzio bwana,maslahi gani wanadai kupitia mitandao ya kijamii? Walimu siyo genge la wahuni,ohoooo.....! acha kudhalilisha taaluma za watu,wewe matatizo ya huto tuhela twako twa likizo unatodai unataka tukutane mtandaoni siyo? hayo ndiyo maadili ya ualimu uliyosoma huko chuoni kwako? koma kabisa