kusangala
Member
- Mar 4, 2017
- 60
- 26
Wakuu tumeshuhudia jinsi wanasheria leo walivoamua kumchagua mtu asiye muoga atayeweza kupambana na changamoto wanazokumbana nazo wanasheria,,,walimu nanyi mna kero nyingi,,hamupandishwi madaraja,,mazingira magumu ya kazi,,na mengineyo!!!! Ushauri wangu nanyi mpambane mpate viongoz watakaowatetea bila uoga,,kwani mna changamoto nyingi sana,,,sina maana kwamba viongozi waliopo sasa ni waoga au hawana utetezi kwa walimu,la hasha ,,bali mkae mtafakari kwa umakini mda wa uchaguzi wa kuchagua viongozi wenu wa chama,,muwe makini kuchagua mtu makini vingnevo mtaendelea kulalamika kila siku,,chama cha walimu mumekipata na kina wigo mpana kuwatetea,,mkitumie kufanikisha maslahi yenu na mkiamini siyo kuanza kukidharau,,mkijidharau nanyi mtadharauriwa,!!!!