Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 28,410
- 81,905
Katika hili nitakataa. Kama ni hiyo mikopo yenye riba kubwa, mpaka askari polisi nao wanaumia. Wamama wa mitaani ndiyo wanateseka mpaka wanatia huruma. Maana marejesho ni kila siku.Walimu ndiyo kada inayotapeliwa kirahisi sana nchi hii kuliko kada nyingine yoyote.
No wonder watoto wetu wanazidi kuwa wapuuzi licha kubeba degree.
Imagine wanakopeshwa laki 1, halafu kila siku wanatakiwa kulipa marejesho ya shilingi 4000-4500! Ni vile tu walimu wana damu ya kunguni kwa baadhi ya watu.