Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,303
- 29,872
- Thread starter
-
- #81
@Tate Mkuu huwa nakushangaa sana nakuona mnafiki unashindwa kuwaambia ukweli badala yake unawakingia kifua na kuwasifia ilihali wanaishi maisha ya kutupwa. Mwalimu ni mtu wa hovyo sana hapa bongo. Watumishi wengine wakiwa wanaomba likizo hata kama zisizo na malipo ili wakae na Familia na kufanya michakato mingine ila walimu wanaomba shule zisifungwe waendelee kufundisha Bure khabisa wakati wa likizoWalimu njooni! Kumekucha huku!
Acheni utahila, ebu jitambueni bhana mnatia kinyaaTupumzishe mkuu, kila siku sisi tuu
Watu wanakopa mabilioni husemi, kila siku walimu, walimu 🚮🚮Acheni utahila, ebu jitambueni bhana mnatia kinyaa
Nasikia walikusomea albadir upate life ban lakini kumbe ilikuwa dua feki😀Yani mwalimu ni kiumbe wa ajabu sana, kucha Kutwa madeni tuuu. Mwezi jana Kuna mwalimu mkoa flani alitolewa darasani na polisi akiwa kapigwa tanganyika jeck Kwa sababu hataki kumlipa mangi deni la laki mbili
Tulipouliza alikopaje kumbe huwa anakopa kila siku dagaa na chumvi kulipa halipi. Walimu wamekuwa wahanga wa mikopo kausha damu ila hawajali maana shida ni sehemu ya maisha Yao. Wateja namba moja wa MABOTO na Umoja loan ni walimu
Kuna siku nilikuwa Bukoba mjini nikaona ofisi imeandikwa tunakopesha walimu tu. Jiulize kwann wanakopesha walimu tu kada zingine hawataki, jibu ni kwamba mwalimu ni rahisi kumburuza na kumdanganya, hawasomi mikataba ya mikopo wao wanafocus pesa tu hata kama ni riba kubwa kiasi gn
Juzi Kuna mwalimu analalamika alikopa mkopo maboto laki tano huu mwaka wa tatu hauishagi, wanakata tu kila mwezi inafika hata million tano mpaka saizi.
Walimu mikopo bila malengo ni hasara, usichukue mkopo kujenga nyumba Bali kaendeleze biashara yako iliyokua na imekubali. Vinginevyo mtabaki masikini wa kutupwa jalalani
Kumbe umewatambua. Ndio maana Mc pilipili, gala B, na Oscar Oscar walikimbia baada ya kujitambuaHawa viumbe sijui akili zao zikoje, huwa wanaambukizana akili mbovu utadhani wanakunywa maji ya kisima kimoja. Moja akifanya upuuzi wake wote wanaigana, huyu akikopa na yule anakopa, mwisho wa siku wanalemewa na madeni na kuiona kazi ya ualimu ni chungu kumbe kosa ni kuigana ujinga
Machizi! Yani wananireport nipigwe ban Kwa kusema ujingaNasikia walikusomea albadir upate life ban lakini kumbe ilikuwa dua feki
Ndio kama sioKwahiyo unataka kusemaje??
Waalimu wote wajiuzuru?
Kazi ya ualimu ni ya wito! Kazi ya ualimu inahitaji uwe mzalendo wa kweli na mtu wa kujitoa. Hivyo tunatakiwa kuwatia moyo walimu, na siyo kuwakatisha tamaa.@Tate Mkuu huwa nakushangaa sana nakuona mnafiki unashindwa kuwaambia ukweli badala yake unawakingia kifua na kuwasifia ilihali wanaishi maisha ya kutupwa. Mwalimu ni mtu wa hovyo sana hapa bongo. Watumishi wengine wakiwa wanaomba likizo hata kama zisizo na malipo ili wakae na Familia na kufanya michakato mingine ila walimu wanaomba shule zisifungwe waendelee kufundisha Bure khabisa wakati wa likizo
Hawapewi extraduty Wala Overtime allowance wao powa tuu wanasema darasa la nne na lasaba hamtafunga, from two na form four hamtafunga, serikali inasema wanafunz wote wafunge wao hawataki. Kweli hawa viumbe ni mapunda ahsee
kila akienda kuomba mkopo hapati!! Hasira zote kwa waaalimuuuWalimu wamekulia nini ndugu mpwayungu??
Walimu ndiyo kada inayotapeliwa kirahisi sana nchi hii kuliko kada nyingine yoyote.Yani mwalimu ni kiumbe wa ajabu sana, kucha Kutwa madeni tuuu. Mwezi jana Kuna mwalimu mkoa flani alitolewa darasani na polisi akiwa kapigwa tanganyika jeck Kwa sababu hataki kumlipa mangi deni la laki mbili
Tulipouliza alikopaje kumbe huwa anakopa kila siku dagaa na chumvi kulipa halipi. Walimu wamekuwa wahanga wa mikopo kausha damu ila hawajali maana shida ni sehemu ya maisha Yao. Wateja namba moja wa MABOTO na Umoja loan ni walimu
Kuna siku nilikuwa Bukoba mjini nikaona ofisi imeandikwa tunakopesha walimu tu. Jiulize kwann wanakopesha walimu tu kada zingine hawataki, jibu ni kwamba mwalimu ni rahisi kumburuza na kumdanganya, hawasomi mikataba ya mikopo wao wanafocus pesa tu hata kama ni riba kubwa kiasi gn
Juzi Kuna mwalimu analalamika alikopa mkopo maboto laki tano huu mwaka wa tatu hauishagi, wanakata tu kila mwezi inafika hata million tano mpaka saizi.
Walimu mikopo bila malengo ni hasara, usichukue mkopo kujenga nyumba Bali kaendeleze biashara yako iliyokua na imekubali. Vinginevyo mtabaki masikini wa kutupwa jalalani
Mshenzi sana sijui kwanini najikuta nyuzi zake zinanikerakila akienda kuomba mkopo hapati!! Hasira zote kwa waaalimuuu
Wito na Uzalendo iwe kwa walimu tu? Kila mmoja katika nchi anatakiwa kuwa mzalendo. Sio kunyonya watu wachache na kuwapa maneno ya ulaghai kuwa wawe Wazalendo wakati katika nchi ileile kuna watu wana neema utadhani ni nchi mbili tofauti. Sio walimu tu, watumishi wengi wa umma wanaishi maisha below the standard. Wengi wao hawawezi ku-afford hata bills za kawaida kabisa za kila mwezi licha ya kuwa na ajira. Kila siku unaambiwa kuna tume imeundwa sijui kufuatilia mishahara, sijui michakato, sijui nini na nini. Unyonyaji mtupu na usanii sanii mwingi. Mtu mwenye ngozi nyeusi ni kiumbe cha ajabu kabisa. Inakera sana wakati mwingine na inabidi hata kutumia maneno makali.Kazi ya ualimu ni ya wito! Kazi ya ualimu inahitaji uwe mzalendo wa kweli na mtu wa kujitoa. Hivyo tunatakiwa kuwatia moyo walimu, na siyo kuwakatisha tamaa.
Walimu wanatakiwa kufundisha remidial classes mpaka usiku! Walimu wanatakiwa kushinda shuleni kutwa nzima hata kama hawana vipindi! Walimu wanatakiwa kufanya kazi mbalimbali za serikali kwa posho kidogo, au hata isiwepo kabisa! Maana huo ndiyo uzalendo wenyewe.
Hata Rais wa kwanza wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alikuwa ni mzalendo wa kweli; ni kwa sababu tu alikuwa ni mwalimu. Hivyo ndugu Mpwayungu Village, jitahidi kuwaheshimu walimu waliokufikisha hapo ulipo. Ukiwadharau, utapata laana. Hiyo mikopo walimu wanakopa ili kupambana na ukali wa maisha mtaani. Wengi wao wanatumia muda mwingi kufanya kazi, na mwisho wa mwezi wanapewa mshahara usioweza kutatua changamoto zao zote.
Wabunge wanapiga tu meza, makofi na vigelgele kule Bungeni, halafu mwisho wa mwezi wanakunja milioni 12! Mwalimu anahangaika na watoto miaka nenda, analipwa laki 6! Kwa nini usikope, ili kupinguza ukali wa maisha?
Utapeli sio KWA walimu tu mkuu hata viongozi wa nchi wanatapeliwa sana!!Walimu ndiyo kada inayotapeliwa kirahisi sana nchi hii kuliko kada nyingine yoyote.
No wonder watoto wetu wanazidi kuwa wapuuzi licha kubeba degree.