Shauri yenu kaeni na uzembe wenu, sasa sisi tuwasaidiaje! Fuateni nyayo za madaktari, gomeni.sisi walimu wilaya ya magu hatujalipwa mshahara wa mwezi wa kwanza mpaka leo tarehe 4.
sisi walimu wilaya ya magu hatujalipwa mshahara wa mwezi wa kwanza mpaka leo tarehe 4.