Walimu magu hawajalipwa mshahara.

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
sisi walimu wilaya ya magu hatujalipwa mshahara wa mwezi wa kwanza mpaka leo tarehe 4.
 
sisi walimu wilaya ya magu hatujalipwa mshahara wa mwezi wa kwanza mpaka leo tarehe 4.

Poleni,ila serikali imefilisika na akiba iliyopo nikwa ajili ya posho za wabunge tu,so tafakarini then mchukue hatua
 
Polen sana ndugu zangu wa Magu tatizo nin hasa,nenden mkamkabe koo Ngundungi awape hata za hapo halmashauri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom