SAMUNGE TZ
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 254
- 23
Kama bilion 33 ni haki yao walipwe ili big result now itekelezeke.
Kama malipo ya walimu yanatolewa na hazina yanakwamia wapi?
Anayelimbikiza malipo ya walimu ni nani?
Mgomo ni haki ya wafanyakazi lakini process yake ni ndefu.
Wakifikia kugoma serikali itaenda mahakama kuu divisheni ya kazi jumamosi kusimamisha huo mgomo.
Walimu wakigoma vyama vingine navyo viwaunge mkono hadi haki ipatikane maana Thomas Mboya aliwahi kusema tajiri hata awe baba,mama,mjomba wako wote wanaasili ya kumnyonya mfanyakazi.