lazima tukumbuke enzi hizoKama 1986 ulikua primary school ulipaswa kuandika vitu vya maana sio huu utoto wa watoto wa 2010. Endana na umri wako
ukute mtoa post mzee wako1986??
Duh kipind bado Mshua anamfukuzia maza
Watu mmekula chumvi humu
Ahaha hapana mkuuukute mtoa post mzee wako
Weka Na walimu wa Itiji, Maendeleo, Majengo Juu, Majengo Chini, Sisimba, Azimio, Umoja, Kwa Sijabaje Na shule nyinginezoEnzi hizo kulikuwa na Mwl Mwangomile alikuwa akichapa balaaa.
Mwaka 1986 pale Mbata pr school Mbeya kulikuwa na Mwl dada mmoja Peter naye alikua akichapa balaaa. Sema alikua na umbo na tako zuri. Sujui yuko wapi siku hizi... Nilimpenda!!
Mbata mnamkumbuka Mwl mhina!? Huyu dada alikua mwembamba na mdogo wa umbo lakini alikua mkali usipime. Ole wako awe mwalimu wa zamu halafu uchelewe 'namba'! Sijui kako wapi.
Alikuwepo pia dada masawe yeye alikuwa akichapa mikononi na rula. Na baridi lote la Mbeya mikono ilikuwa ikifa ganzi.
sijui unamkumbuka mwalimu alikua anaitwa SWETARA AKA Kalubandiks nzovwe primary miaka ya 90 mwishoni?Richard Kasela a.k.a Smasher- Sisimba.
Mwaisaka- Sisimba
Isambi "Reca" Ntipoo- Mathematics Guru, Meta Sec
Magerewanya- Mbeya Sec
Msomba- Azimio
sijui unamkumbuka mwalimu alikua anaitwa SWETARA AKA Kalubandiks nzovwe primary miaka ya 90 mwishoni?
masawe wa shule gan na mwaka gan?Enzi hizo kulikuwa na Mwl Mwangomile alikuwa akichapa balaaa.