Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,983
- 3,670
Wanahitajika
1. Waalimu watano wa Elimu ya Dini ya Kiislam (EDK) jinsia yoyote.
2. Mabinti 4 waliosomea secretary na wenye kujua vizuri Computer
Sifa
1. Awe Tayari kufanya kazi Mkoa wa Tabora
2. Awe na Ujuzi wa kazi
3.Awe Muislamu anaejistiri na muadilifu
Usaili
Utafanyika siku ya Jumamosi 26.06.2021 saa Tatu Asubuhi
Sehemu:
Shule ya Sekondari Alli Hassan Mwinyi
Mawasiliano
0767461600