Walimtosa Ben Saanane, wakaingia mkenge kwa kijana wa Makumbusho

Dr. Mihogo yuko canada anauza supermarket !
Mkuu. With due respect, ni mara mia kama anafanya hiyo kazi ya halali. Wenye uelewa na integrity tunamwelewa sana kuliko kama angekuwa mnafiki na kugeuza gia kuanza kumsifia mtu ambaye yeye mwenyewe alimtaja kuwa mmojawapo wa mafisadi sugu wa nchi hii pale Mwembeyanga. Historia itampa hukumu nyepesi sana kuliko hii minafiki iliyokigeuza chama kuwa friza la kusafisha na kuhifadhi mafisadi yanayotoka CCM. Akiwa CCM mtu anakuwa fisadi wa kutupwa lakini akihamia huku anakuwa msafi overnight. Haishangazi hata watu wanachanganyikiwa na kushindwa kupambanua who is who. Bado tuna safari ndefu!!!
 
Hamkumpenda Ben kwakuwa anahoji sana..mkamuona kijana mjuaji..mkamtosa kisa tu umri..na umri wenyewe Ben hakuwa hajafikisha. Kufikisha umri mpaka ufike tarehe hiyo.

Kwenye uchaguz wa uenyekiti Bavisha mkamtosa Ben..mkaingia mkenge kwa KIjana wa Makumbusho..mkaingia mkenge mbaya..fanyeni vetting kubwa kwa vijana wenu...na wapeni maslahi mazuri. Miaka ya Heche mliingia mkenge kwa Shonza..kijidada cha makumbusho, bahati nzuri mkakashitukia.. kwa suala la Uenyekiti wa Bavicha kimsingi sikuwaelewa sana mlivyomtosa Ben. Ben alikuwa asset sana kwenu. Chama chenu kinapendwa sana na vijana tokea vuguvugu la 2010. kimsingi watanzania wameichoka ccm na waamini mkingia wapinzani mtaleta neema kwao..ebu uvaaeni uhusika wa chama mbadala..siyo uahanarakati wa matamko yasiyo na tija.

Chama mbadala hamtakiwi kuwa wanyonge..mnatakiwa mzalishe wakina lisu km 100. Mnatakiwa muwe na hoja na siyo lelemama..siyo vitamko uchwala uchwala tu akitokea Afande mnatawanyikaa.

Narudia mlifanya makosa makubwa kumwacha Ben.. Ben angewafaa sana kwenye Uenyekiti Bavicha...

Hao wakina katambi mnao wengi sana..kuweni makini na vijana wenu. kuwatambua inahitajika na nyie muwe na watu wenu ndani( double agent)..ubaya ubaya tu...siyo kila mtu anahama kwenu kanunuliwa..NO, wengine wamemaliza kazi waliyotumwa. Nilishangzwa na nyie intelijensia yenu ikoje kipind cha uchaguzi 2015 mliwaingiza wengi sana indirect bila kujijua kwenye chama chenu.

Sasa hivi mpo uchi..hamuwez panga jambo lisiwafikie watani wenu..siku hizi haina hata haja ya kuwawekea tape record km zamani..siku hiz mpo uchi. Investing sana kwa vijana wenu..wachunguzeni sana. hamuwez ishinda ccm kwa mbinu za kitoto hizo za matamko.Wakina katambi wapo wengi sana kwenu..nyie mnashindwa vp kuwaweka wakina Saanne na malisa wengi ndani ya system yao.

information is power, wanawajua sana..mpo naked sana..na nyie mbadilike mcheze modern politics...wawekeeni na nyinyi kwa gharama zozote watu wenu..achaneni na hao informer wenu fake. Chama cha siasa strong kinakuwa na watu wake loyal kila sekta muhimu, vyombo vya habari, taasisi za kunusanusa. Mpo local sana nyie.
Slaa hakuwa mwana makumbusho ila alifika bei..but sina uhakika km alipata 100% ya bei yake. Akili kum kichwa. Alafu hizo hoja eti wananunuliwa..hoja dhaifu hizo.Mtaji wa chama cha siasa ni watu.

Jengeni ushawishi wa makundi yote (wasomi,vijana,wazee, wanawake)..kuweni ndiyo think tank ya Nchi, jengeni ushawawishi kwa kutumia propaganda za kileo..sio hiz za kina Mange kimambi kila siku kumwandamana Makonda..utafikir makonda akitolewa leo dar basi chadema mmechukua Nchi. Siasa zen zijike zaidi katika kuwaelemisha wananchi juu ya haki zao pamoja na wajibu wao. siyo haki tu bila wajibu. Mnayo hazina ya wazee km Beregu na Safari hebu watumieni hao katika kuwafunda vijana wenu..Wakati mwingine makamanda wana midomo km Cherehani. DADA anasema Bungeni Spika ni F, ivi unadhani wazee wangap utamshawishi chadema chama makini.

Chadema hamna dola, kwahyo mnatakiwa kuwa na mole (double agent ambao mnawapa mkwanja) wenu inside dola hasa sehemu zote ambazo ccm wanatumia kuwa beat nyinyi. kuwa na mole siyo dhambi kwa dunia ya kipropaganda hii. wekeni mole kwa gharama ndani ya ccm, ikiwezekana hata kuwahonga baadhi ya wajumbe ili kupata information. Mfano Lazaro alipoonesha nia ya kutaka kuja kwenu..mngemwambia akae huko huko kwanza mngemtumia km Asset ya information ndani ya CCM na serikali kwa ujumla. Mitandao ya kijamii ina nguvu sana..vp mmenzisha akaunti ngap za kipropangada za kuuza sera zenu..au mnatagemea mpka millady awarushe. Redioni na kwenye tv vp mmetumia mikakati gani ya kubakia relevant kila siku kwa vituo zaidi ya vitatu kuwarusha habari zenu..Tv zinawabania kwan mmeshindwa kuanzisha yenu indirect way.

CCM bado wanacheza kinokia nokia nyie mnabidi mcheze kiandroid..Mwenzenu kapigwa risasi..vp mnategemea nn. mngekuwa na watu wenu ndani, jambo hilo lisingefanikiwa..au mngelipiza...Dunia ya kileo inaiishi hivi..sasa nyie endendeleeni kumwachia Mungu..Mungu yupo kwa ajili ya ccm, zanu pf, chadema, anc. kwako na kwangu..Mwisho mnafanyaga research kujua hata mnakubalika kwa vitu gani..na je maeneo gani mpunguze..Kuna watu mnatakiwa kuwaweka front page km Mbunge km Silinde, wapole na wanahoja..

najua mnasema chama kikubwa hakifi..sawa..but law of diminishing return nadhani mnaijua.

Mliingia mkenge kwa kijana makumbusho..

Get well soon, Lisu
Matapeli ya kisiasa yapo mengi tu na ndiyo fani yao kutumika.Leo yanajifanya yapo kule kesho yapo pale kufanya kazi wanazotumwa na chana chao.Ndiyo maisha yao.
 
Mkuu. With due respect, ni mara mia kama anafanya hiyo kazi ya halali. Wenye uelewa na integrity tunamwelewa sana kuliko kama angekuwa mnafiki na kugeuza gia kuanza kumsifia mtu ambaye yeye mwenyewe alimtaja kuwa mmojawapo wa mafisadi sugu wa nchi hii pale Mwembeyanga. Historia itampa hukumu nyepesi sana kuliko hii minafiki iliyokigeuza chama kuwa friza la kusafisha na kuhifadhi mafisadi yanayotoka CCM. Akiwa CCM mtu anakuwa fisadi wa kutupwa lakini akihamia huku anakuwa msafi overnight. Haishangazi hata watu wanachanganyikiwa na kushindwa kupambanua who is who. Bado tuna safari ndefu!!!
Ukiwa kamanda unatakiwa umsifie Mbowe tu, sasa wewe unaanza kuleta mawazo ya kutufikirisha makamanda wenzako? Ngoja niwaachie makamanda wengine wakutukane.
 
Ungetoa ushauri huu kabla ya katambi hajaamia ccm, unless otherwise unaonekana ni mnafiki tu unaewashwawashwa
 
Watu tunapambana na ufisadi, nyinyi mnataka vijana wetu wajiunge na mafisadi watuhumiwa mnataka muwaharibu kwanini
Sijaona fisadi toka upinzani akikamatwa labda wewe uniambie watatu waliokamatwa upinzani kwa ufisadi au fisadi akihamia upinzani hakamatiki?
 
Hayo ni matunda ya kumpokea Lowassa et al!!na bado!!! Wabunge nao wako mbiyoni kuja kwetu CHama makini under the bulldozer JPM!! Bakini na mafisadi wenu !!
 
Mkuu unashindwa kung'amua jambo moja tu kuwa kile sio chama ni Saccos ya Mbowe akishirikiana na ba mkwe, hayo mengine ni matukio tu ya maisha ila watu wanapiga hela day in day out usishughulike na kelele za JF ni moja ya mikakati ya kuwapotezea.
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Usiogope siyo hatari kuishi na nyoka ilimradi wajuwe waishi nao kwa mbinu zipi !!
wakati mwingine nyoka akikuzowea anakuwa rafiki!!!
 
Mkuu. With due respect, ni mara mia kama anafanya hiyo kazi ya halali. Wenye uelewa na integrity tunamwelewa sana kuliko kama angekuwa mnafiki na kugeuza gia kuanza kumsifia mtu ambaye yeye mwenyewe alimtaja kuwa mmojawapo wa mafisadi sugu wa nchi hii pale Mwembeyanga. Historia itampa hukumu nyepesi sana kuliko hii minafiki iliyokigeuza chama kuwa friza la kusafisha na kuhifadhi mafisadi yanayotoka CCM. Akiwa CCM mtu anakuwa fisadi wa kutupwa lakini akihamia huku anakuwa msafi overnight. Haishangazi hata watu wanachanganyikiwa na kushindwa kupambanua who is who. Bado tuna safari ndefu!!!
Kama ingethibitka alichokuwa ana kituhumu ni uongo ? CCM mpaka leo mmeshindwa kumfunga Lowassa Kwa sababu aliyesababisha sio Lowassa bali ni mfumo ulioko ndani ya CCM.Hata Sizonje akiondolewa kinga hawezi baki Salama Kwa madudu aliyoyafanya kipindi akiwa waziri na hata sasa. Mfano kununua kivuko kibovu, kugawa nyumba Za serikali hovyo na sasa kujenga uwanja wa ndege chato bila kufuata sheria za manunuzi. Inahitajika ujitoe ufahamu kama Lipumba ndio uweze kuibeba CCM !
 
Hamkumpenda Ben kwakuwa anahoji sana..mkamuona kijana mjuaji..mkamtosa kisa tu umri..na umri wenyewe Ben hakuwa hajafikisha. Kufikisha umri mpaka ufike tarehe hiyo.

Kwenye uchaguz wa uenyekiti Bavisha mkamtosa Ben..mkaingia mkenge kwa KIjana wa Makumbusho..mkaingia mkenge mbaya..fanyeni vetting kubwa kwa vijana wenu...na wapeni maslahi mazuri. Miaka ya Heche mliingia mkenge kwa Shonza..kijidada cha makumbusho, bahati nzuri mkakashitukia.. kwa suala la Uenyekiti wa Bavicha kimsingi sikuwaelewa sana mlivyomtosa Ben. Ben alikuwa asset sana kwenu. Chama chenu kinapendwa sana na vijana tokea vuguvugu la 2010. kimsingi watanzania wameichoka ccm na waamini mkingia wapinzani mtaleta neema kwao..ebu uvaaeni uhusika wa chama mbadala..siyo uahanarakati wa matamko yasiyo na tija.

Chama mbadala hamtakiwi kuwa wanyonge..mnatakiwa mzalishe wakina lisu km 100. Mnatakiwa muwe na hoja na siyo lelemama..siyo vitamko uchwala uchwala tu akitokea Afande mnatawanyikaa.

Narudia mlifanya makosa makubwa kumwacha Ben.. Ben angewafaa sana kwenye Uenyekiti Bavicha...

Hao wakina katambi mnao wengi sana..kuweni makini na vijana wenu. kuwatambua inahitajika na nyie muwe na watu wenu ndani( double agent)..ubaya ubaya tu...siyo kila mtu anahama kwenu kanunuliwa..NO, wengine wamemaliza kazi waliyotumwa. Nilishangzwa na nyie intelijensia yenu ikoje kipind cha uchaguzi 2015 mliwaingiza wengi sana indirect bila kujijua kwenye chama chenu.

Sasa hivi mpo uchi..hamuwez panga jambo lisiwafikie watani wenu..siku hizi haina hata haja ya kuwawekea tape record km zamani..siku hiz mpo uchi. Investing sana kwa vijana wenu..wachunguzeni sana. hamuwez ishinda ccm kwa mbinu za kitoto hizo za matamko.Wakina katambi wapo wengi sana kwenu..nyie mnashindwa vp kuwaweka wakina Saanne na malisa wengi ndani ya system yao.

information is power, wanawajua sana..mpo naked sana..na nyie mbadilike mcheze modern politics...wawekeeni na nyinyi kwa gharama zozote watu wenu..achaneni na hao informer wenu fake. Chama cha siasa strong kinakuwa na watu wake loyal kila sekta muhimu, vyombo vya habari, taasisi za kunusanusa. Mpo local sana nyie.
Slaa hakuwa mwana makumbusho ila alifika bei..but sina uhakika km alipata 100% ya bei yake. Akili kum kichwa. Alafu hizo hoja eti wananunuliwa..hoja dhaifu hizo.Mtaji wa chama cha siasa ni watu.

Jengeni ushawishi wa makundi yote (wasomi,vijana,wazee, wanawake)..kuweni ndiyo think tank ya Nchi, jengeni ushawawishi kwa kutumia propaganda za kileo..sio hiz za kina Mange kimambi kila siku kumwandamana Makonda..utafikir makonda akitolewa leo dar basi chadema mmechukua Nchi. Siasa zen zijike zaidi katika kuwaelemisha wananchi juu ya haki zao pamoja na wajibu wao. siyo haki tu bila wajibu. Mnayo hazina ya wazee km Beregu na Safari hebu watumieni hao katika kuwafunda vijana wenu..Wakati mwingine makamanda wana midomo km Cherehani. DADA anasema Bungeni Spika ni F, ivi unadhani wazee wangap utamshawishi chadema chama makini.

Chadema hamna dola, kwahyo mnatakiwa kuwa na mole (double agent ambao mnawapa mkwanja) wenu inside dola hasa sehemu zote ambazo ccm wanatumia kuwa beat nyinyi. kuwa na mole siyo dhambi kwa dunia ya kipropaganda hii. wekeni mole kwa gharama ndani ya ccm, ikiwezekana hata kuwahonga baadhi ya wajumbe ili kupata information. Mfano Lazaro alipoonesha nia ya kutaka kuja kwenu..mngemwambia akae huko huko kwanza mngemtumia km Asset ya information ndani ya CCM na serikali kwa ujumla. Mitandao ya kijamii ina nguvu sana..vp mmenzisha akaunti ngap za kipropangada za kuuza sera zenu..au mnatagemea mpka millady awarushe. Redioni na kwenye tv vp mmetumia mikakati gani ya kubakia relevant kila siku kwa vituo zaidi ya vitatu kuwarusha habari zenu..Tv zinawabania kwan mmeshindwa kuanzisha yenu indirect way.

CCM bado wanacheza kinokia nokia nyie mnabidi mcheze kiandroid..Mwenzenu kapigwa risasi..vp mnategemea nn. mngekuwa na watu wenu ndani, jambo hilo lisingefanikiwa..au mngelipiza...Dunia ya kileo inaiishi hivi..sasa nyie endendeleeni kumwachia Mungu..Mungu yupo kwa ajili ya ccm, zanu pf, chadema, anc. kwako na kwangu..Mwisho mnafanyaga research kujua hata mnakubalika kwa vitu gani..na je maeneo gani mpunguze..Kuna watu mnatakiwa kuwaweka front page km Mbunge km Silinde, wapole na wanahoja..

najua mnasema chama kikubwa hakifi..sawa..but law of diminishing return nadhani mnaijua.

Mliingia mkenge kwa kijana makumbusho..

Get well soon, Lisu
Wewe lazima umesoma Israeli
 
Was Lowassa an asset or a liability in the long run? Tumeanza kuona jibu la swali hili kwa vitendo !!!
in the short run Lowasa was an asset
in the long run Lowasa is a liability
A prudent decision would be for Lowasa not to run for Presidency
Slaa would have ran for presidency ..being supported by Lowasa and Sumaye
Ujue tuangalie a bigger picture..Kwa mfumo wa katiba tulionao...hata Malaika hawezi kupewa dola akigombea kupitia vyama vingine nje ya CCM..ila anaweza kuchaguliwa
Hata slaa asingeupata urais lakini ingepunguza damage .in long run.hasa katika moral authority ya chama
 
Back
Top Bottom