Walimtosa Ben Saanane, wakaingia mkenge kwa kijana wa Makumbusho

Hamkumpenda Ben kwakuwa anahoji sana..mkamuona kijana mjuaji..mkamtosa kisa tu umri..na umri wenyewe Ben hakuwa hajafikisha. Kufikisha umri mpaka ufike tarehe hiyo.

Kwenye uchaguz wa uenyekiti Bavisha mkamtosa Ben..mkaingia mkenge kwa KIjana wa Makumbusho..mkaingia mkenge mbaya..fanyeni vetting kubwa kwa vijana wenu...na wapeni maslahi mazuri. Miaka ya Heche mliingia mkenge kwa Shonza..kijidada cha makumbusho, bahati nzuri mkakashitukia.. kwa suala la Uenyekiti wa Bavicha kimsingi sikuwaelewa sana mlivyomtosa Ben. Ben alikuwa asset sana kwenu. Chama chenu kinapendwa sana na vijana tokea vuguvugu la 2010. kimsingi watanzania wameichoka ccm na waamini mkingia wapinzani mtaleta neema kwao..ebu uvaaeni uhusika wa chama mbadala..siyo uahanarakati wa matamko yasiyo na tija.

Chama mbadala hamtakiwi kuwa wanyonge..mnatakiwa mzalishe wakina lisu km 100. Mnatakiwa muwe na hoja na siyo lelemama..siyo vitamko uchwala uchwala tu akitokea Afande mnatawanyikaa.

Narudia mlifanya makosa makubwa kumwacha Ben.. Ben angewafaa sana kwenye Uenyekiti Bavicha...

Hao wakina katambi mnao wengi sana..kuweni makini na vijana wenu. kuwatambua inahitajika na nyie muwe na watu wenu ndani( double agent)..ubaya ubaya tu...siyo kila mtu anahama kwenu kanunuliwa..NO, wengine wamemaliza kazi waliyotumwa. Nilishangzwa na nyie intelijensia yenu ikoje kipind cha uchaguzi 2015 mliwaingiza wengi sana indirect bila kujijua kwenye chama chenu.

Sasa hivi mpo uchi..hamuwez panga jambo lisiwafikie watani wenu..siku hizi haina hata haja ya kuwawekea tape record km zamani..siku hiz mpo uchi. Investing sana kwa vijana wenu..wachunguzeni sana. hamuwez ishinda ccm kwa mbinu za kitoto hizo za matamko.Wakina katambi wapo wengi sana kwenu..nyie mnashindwa vp kuwaweka wakina Saanne na malisa wengi ndani ya system yao.

information is power, wanawajua sana..mpo naked sana..na nyie mbadilike mcheze modern politics...wawekeeni na nyinyi kwa gharama zozote watu wenu..achaneni na hao informer wenu fake. Chama cha siasa strong kinakuwa na watu wake loyal kila sekta muhimu, vyombo vya habari, taasisi za kunusanusa. Mpo local sana nyie.
Slaa hakuwa mwana makumbusho ila alifika bei..but sina uhakika km alipata 100% ya bei yake. Akili kum kichwa.

CCM wamefanikiwa kwa hili. Siyo kila kitu muambiwe..

Mliingia mkenge kwa kijana makumbusho..

Get well soon, Lisu
Kwa hiyo kwa maneno mengine huyu KITAMBI ni " Eagle Wing House " ?

Je anaweza akawa anahusika na upotevu wa " Saa Tisa " ?
 
Mkuu chipa GM good advice,Kwa Juliana Shonza na Kitila Mkumbo huna haja ya rocket science kulitambua kuwa ni ni wale wale wa Makumbusho,nnasubiri kuona contract mpya ya Zitto!!

Noted:

mimi nimeshaacha kufatilia siasa kitambo sana za tz baada ya machale yangu kunicheza juu ya hawa tunaowaita wapinzan

Hata yule katibu mkuu mmlike vizuri waweza jua rangi zake
 
Hakuna lolote LA maana ulilosema hapa hivi unategemea kijana gani ambaye anaweza kukaa kundi moja na wale watuhumiwa wa ufisadi? ???
....Hata wewe hakuna la maana uliloleta zaidi tu ya ku quote uzi wote....
 
Najifunza kitu,kwa sasa kuna uwezekano hats vyama vya upinzani vikaanza kutrain watu wao kuwa majasusi, hili haliepukiki kwa sasa kila chama kikifanya hivyo tutakuwa tunatengeneza mwanzo mbaya kwa Taifa letu.Naanza kuamini maneno ya MTU mmoja aliyeniambia kwamba kwa sasa Cdm wameteua vijana anbao wamepekwa nje kuchukua mafunzo maalum ya kuwa walinzi binafsi Wa viongozi ( body guards) kuna sehemu mambo hayaendi sawa
 
Hamkumpenda Ben kwakuwa anahoji sana..mkamuona kijana mjuaji..mkamtosa kisa tu umri..na umri wenyewe Ben hakuwa hajafikisha. Kufikisha umri mpaka ufike tarehe hiyo.

Kwenye uchaguz wa uenyekiti Bavisha mkamtosa Ben..mkaingia mkenge kwa KIjana wa Makumbusho..mkaingia mkenge mbaya..fanyeni vetting kubwa kwa vijana wenu...na wapeni maslahi mazuri. Miaka ya Heche mliingia mkenge kwa Shonza..kijidada cha makumbusho, bahati nzuri mkakashitukia.. kwa suala la Uenyekiti wa Bavicha kimsingi sikuwaelewa sana mlivyomtosa Ben. Ben alikuwa asset sana kwenu. Chama chenu kinapendwa sana na vijana tokea vuguvugu la 2010. kimsingi watanzania wameichoka ccm na waamini mkingia wapinzani mtaleta neema kwao..ebu uvaaeni uhusika wa chama mbadala..siyo uahanarakati wa matamko yasiyo na tija.

Chama mbadala hamtakiwi kuwa wanyonge..mnatakiwa mzalishe wakina lisu km 100. Mnatakiwa muwe na hoja na siyo lelemama..siyo vitamko uchwala uchwala tu akitokea Afande mnatawanyikaa.

Narudia mlifanya makosa makubwa kumwacha Ben.. Ben angewafaa sana kwenye Uenyekiti Bavicha...

Hao wakina katambi mnao wengi sana..kuweni makini na vijana wenu. kuwatambua inahitajika na nyie muwe na watu wenu ndani( double agent)..ubaya ubaya tu...siyo kila mtu anahama kwenu kanunuliwa..NO, wengine wamemaliza kazi waliyotumwa. Nilishangzwa na nyie intelijensia yenu ikoje kipind cha uchaguzi 2015 mliwaingiza wengi sana indirect bila kujijua kwenye chama chenu.

Sasa hivi mpo uchi..hamuwez panga jambo lisiwafikie watani wenu..siku hizi haina hata haja ya kuwawekea tape record km zamani..siku hiz mpo uchi. Investing sana kwa vijana wenu..wachunguzeni sana. hamuwez ishinda ccm kwa mbinu za kitoto hizo za matamko.Wakina katambi wapo wengi sana kwenu..nyie mnashindwa vp kuwaweka wakina Saanne na malisa wengi ndani ya system yao.

information is power, wanawajua sana..mpo naked sana..na nyie mbadilike mcheze modern politics...wawekeeni na nyinyi kwa gharama zozote watu wenu..achaneni na hao informer wenu fake. Chama cha siasa strong kinakuwa na watu wake loyal kila sekta muhimu, vyombo vya habari, taasisi za kunusanusa. Mpo local sana nyie.
Slaa hakuwa mwana makumbusho ila alifika bei..but sina uhakika km alipata 100% ya bei yake. Akili kum kichwa. Alafu hizo hoja eti wananunuliwa..hoja dhaifu hizo.Mtaji wa chama cha siasa ni watu.

Jengeni ushawishi wa makundi yote (wasomi,vijana,wazee, wanawake)..kuweni ndiyo think tank ya Nchi, jengeni ushawawishi kwa kutumia propaganda za kileo..sio hiz za kina Mange kimambi kila siku kumwandamana Makonda..utafikir makonda akitolewa leo dar basi chadema mmechukua Nchi. Siasa zen zijike zaidi katika kuwaelemisha wananchi juu ya haki zao pamoja na wajibu wao. siyo haki tu bila wajibu. Mnayo hazina ya wazee km Beregu na Safari hebu watumieni hao katika kuwafunda vijana wenu..Wakati mwingine makamanda wana midomo km Cherehani. DADA anasema Bungeni Spika ni F, ivi unadhani wazee wangap utamshawishi chadema chama makini.

Chadema hamna dola, kwahyo mnatakiwa kuwa na mole (double agent ambao mnawapa mkwanja) wenu inside dola hasa sehemu zote ambazo ccm wanatumia kuwa beat nyinyi. kuwa na mole siyo dhambi kwa dunia ya kipropaganda hii. wekeni mole kwa gharama ndani ya ccm, ikiwezekana hata kuwahonga baadhi ya wajumbe ili kupata information. Mfano Lazaro alipoonesha nia ya kutaka kuja kwenu..mngemwambia akae huko huko kwanza mngemtumia km Asset ya information ndani ya CCM na serikali kwa ujumla. Mitandao ya kijamii ina nguvu sana..vp mmenzisha akaunti ngap za kipropangada za kuuza sera zenu..au mnatagemea mpka millady awarushe. Redioni na kwenye tv vp mmetumia mikakati gani ya kubakia relevant kila siku kwa vituo zaidi ya vitatu kuwarusha habari zenu..Tv zinawabania kwan mmeshindwa kuanzisha yenu indirect way.

CCM bado wanacheza kinokia nokia nyie mnabidi mcheze kiandroid..Mwenzenu kapigwa risasi..vp mnategemea nn. mngekuwa na watu wenu ndani, jambo hilo lisingefanikiwa..au mngelipiza...Dunia ya kileo inaiishi hivi..sasa nyie endendeleeni kumwachia Mungu..Mungu yupo kwa ajili ya ccm, zanu pf, chadema, anc. kwako na kwangu..Mwisho mnafanyaga research kujua hata mnakubalika kwa vitu gani..na je maeneo gani mpunguze..Kuna watu mnatakiwa kuwaweka front page km Mbunge km Silinde, wapole na wanahoja..

najua mnasema chama kikubwa hakifi..sawa..but law of diminishing return nadhani mnaijua.

Mliingia mkenge kwa kijana makumbusho..

Get well soon, Lisu
Mzee Baba,heshima kwako Umeongea vizuri mno mno mno binafsi kama Mwanaharakati huwa Najiuliza CHADEMA ile ya kujenga hoja za maana ipo wapi?yaani kama wamepigwa ganzi kudadadeki wasiamke mpaka 2020,Naungana na Wewe hii kupokea pokea Watu sio issue wengine mamluki,Watumie hata mitandao ya kijamii kufikia Watu insta,FB nk Nashangaa hata EL Hayupo mtandaoni 2020 sio mbali na Waachane na matamko ya kifala waibue hoja kama Dr Slaa ambaye kiukweli Tunammis japo Hatusemi hadharani
 
Ni wakati wa kuzunguka kwenye vyuo na kujenga ngome imara za Chama! Watu wamechoka ni lazima ninyi mtoe dira sasa!
 
Mzee Baba,heshima kwako Umeongea vizuri mno mno mno binafsi kama Mwanaharakati huwa Najiuliza CHADEMA ile ya kujenga hoja za maana ipo wapi?yaani kama wamepigwa ganzi kudadadeki wasiamke mpaka 2020,Naungana na Wewe hii kupokea pokea Watu sio issue wengine mamluki,Watumie hata mitandao ya kijamii kufikia Watu insta,FB nk Nashangaa hata EL Hayupo mtandaoni 2020 sio mbali na Waachane na matamko ya kifala waibue hoja kama Dr Slaa ambaye kiukweli Tunammis japo Hatusemi hadharani
Wamefungia siasa unategemea utawasikia wapi Ayo tv au??
 
Back
Top Bottom